KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,584
- 8,611
- Thread starter
- #41
Walishutiwa au waliangushiwa makombora??maana wamesema mabaki ya mwiliwake yamepelekwa baharini!!!Wamerekani waoga waneona yanaweza yakaunganika baadae nini kama John conner wa temineta!!!nimecheka kuzika baharini!!hawaamini kama kafa!!