Wamama watu wazima mtatumaliza

kama mapharmacist ndo hawa tutauliwa mwaka huu...
Mbona wewe unatatizo lako la kuingiza mikono kunako na kuinusa hatukusababishia kifo mpaka leo upo jf hapa.Na bado lile tatizo lako la ugumba tutalimaliza
 
Uandishi huu wa herufi kubwa mwanzo mwisho ni uthibitisho kwamba bado uko shule tena za kata
Hazisomeki au hazieleweki ?Asinge changia mtu kama hilo ni tatizo
 
Wepson, ongera sana kwakusoma hyo fan, ntapaswa niongee na wewe kwa kina coz nyie ni watu mhimu dunian.

Nitakusaidia ila kiwatengu ninaye mpaka mwisho
 
 
kisome vizuri ULICHOANDIKA NA UNGEKUA MCHANGIAJI UNGEELEWA NINI,KUSEMA HUWEZI HATA KUANDIKA KWAKO NI SHIDA
​watu wengi wamekuomba uwapm namba ya huyo mama unakwepa kwepa tu kuwatumia
 

Basi wewe una Dementia
 
Dah! Ningekuwa mimi, ningeenda kupima nae tu, kama yuko msafi na ana mvuto ningekuwa nadunda tu kisiri siri. Hawa wanatakaga dozi tu, hamna usumbufu mwingine. Ukimpatia, bhaas!!unampa ukweli kuwa una demu, aheshimu hilo kwanza baada ya hapo kwendo ni kunyata. Sijabahatika bado kupata "jimama" au msichana aliyenizidi umri miaka 6+, kama unaona anakusumbua na unamaanisha kweli kama wewe sio mnafiki nipiemu namba yake.
 

Alzheimer's disease Hivi ndivyo inavyo andikwa kiwatengu usiandike kwa kiswahili ni kosa kubwa usikarili mzee hahahaaa
 
Mbona wewe unatatizo lako la kuingiza mikono kunako na kuinusa hatukusababishia kifo mpaka leo upo jf hapa.Na bado lile tatizo lako la ugumba tutalimaliza

huyo ni dada ako anaejiita ivandon usichanganye madesa we mfamasia wa mganga wa kienyeji
 

[h=1]Nafikiri kwa uwezo wako mfupi wa kufikiri lazima tu phenotypicaly Achondroplasia ni dominant gene[/h]
 
[h=1]Nafikiri kwa uwezo wako mfupi wa kufikiri lazima tu phenotypicaly Achondroplasia ni dominant gene[/h]

Nikushauri kitu?Bora tu ukae kimya maana unavyoendeleza ligi ndio unavyozidi kujichoresha.

Its better ujichanganye kwenye thread nyingine🙂
 
huyo ni dada ako anaejiita ivandon usichanganye madesa we mfamasia wa mganga wa kienyeji
Ahaa wewe tatizo lako ni lile la kutoka haja kubwa na ndogo bila kujizuia FISTULA uje tukutoe catheterau vyote kwako vigumu bora ukimbie ukalale usisahau kujojoa ee
 
Nikushauri kitu?Bora tu ukae kimya maana unavyoendeleza ligi ndio unavyozidi kujichoresha.

Its better ujichanganye kwenye thread nyingine🙂

Fafanua nilicho andika hapo usije kua umeachwa njia panda unabwatabwata tu
 
Nikushauri kitu?Bora tu ukae kimya maana unavyoendeleza ligi ndio unavyozidi kujichoresha.

Its better ujichanganye kwenye thread nyingine🙂

Mbona Umeniuliza kabla sijakubali umevua pichu khahahaa papuchi baya sitaki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…