Wamama na wazazi piteni hapa

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
kuna mtoto wa dada cjui anashida gan...afya yake sio nzuri ana mwaka mmoja ana kg 8... mtoto hali kitu chochote zaid ya uji na maji tu bt uji anauchanganyia....
mahindi
mchele
mtama mweupe
uele
ngano
ulezi
na maziwa
karanga na uwa anampa yai la kienyej maea 3 kwa wk analichanganya kwenye uji
ratiba yake iko hv
saa 2 uji
saa 7 uji
saa 12
saa 3 uck uji au maziwa ...au parachichi maana ndo analokula
je anakosea wp? mbona afya ya mtoto mbaya
NB
anapewa uji sababu chakula kingine hatak kula kabisa hata hakabweje
 
Mtoto ana umri gani? kuna mdogo wake kabla yake wamepishana mda gani? hua na homa mtoto za vipindi au ? umejaribu kumpeleka hospital?
 
Simpoooo..."baba au mama yake mmoja wao anam-bemenda"...waulize waswahili wenzangu juu ya kubemendwa mtoto.
 
Ajaribu kumpa multi vitamin au dawa za kuongeza appetite. Abadili ratiba ya chakuka. Asubuhi uji, saa nne ampe uji tena au cerelac although si nzuri sana na mchana ampe chakuka kama ana blender akisage kuwe na mchanganyiko na kila siku awe anambadilishia huo mchanganyiko. Mchanganyiko uwe una vyakula vyenye calcium na iron ambazo ni nyama, dagaa, samaki, kuku uchanganye na either rice, ndizi, swet potatoes au irish potatoes, bila kusahau vegetables, pumpkins, nyanya, kitunguu , carrots na mazaga zaga mengine. Jioni umtengenezee machanganyiko wa fruits na uangakie colours za fruits yaani una mix kama.ni watermelon(red) unaweka na avocados na ndizi. Ndizi huwa ni main fruit kwa ajili ya kuongeza ladha na usiweke sukari haya matunda yawe thick na si kama juice. Jioni mpe mchanganyiko kama ule wa mchana na kabla hajalala hakikisha anakunywa maziwa.
Hope utasaidika nilikuwana mjukuu kama huyo nikaletewa hivyo ndio nilimfanyia na aligain weight but inahitaji commitment. Na kama ni mama ake anamlisha basi ajaribu kumpa mtu mwingine baki maana watt huwa na tendency ya kuwadekea mama zao
 
Huyo mtoto kunabaadh ya vitamin hana mana hzo kes za mtoto kukosa ham yakula nshakutana nazo sana na nmezisaidia kwa uwezi wa mungu
Chamsing tumfanyie vipomo kwanza.......
Kwa maelezo zaidi 0714.912390
 
Back
Top Bottom