Wamalawi Waliopo TANZANIA

Ntambaswala

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
255
78
Kuna rafiki yangu mmoja Mmalawi anafundisha chuo kikuu kimoja hapa Dar aliwahi kunieleza kuwa kwa viwango vya wanafunzi wa bongo anawaofundisha (chuoni) wengi wao wana viwango sawa na watoto wa shule za upili( sekondari) za kwao. Nilibisha sana, basi akaniamwambia wamalawi eti ni vichwa sana akanipa mifano kadhaa ya wamalawi waliopo hapa TZ ambao ni vichwa(na kweli hao watu ni vichwa sana). Aliowataja ni hawa hapa sasa sijua kama ni kweli

1. Profesa Mathew Luhanga

2. Profesa Nkoma wa TCRA

3. Profesa Msambichaka (wote wawili)

4. Marehemu Austin Shaba

5. Maremu Kambona

6. Marehemu Nyirenda wa Uhuru Torch Kilimanjaro

7. Kasesera wa mpira wa kikapu

8. Msowayas

9.Kasambalas

10. Chiume

11. Lifa Chipaka

12.
 
These are Lombrossoic ideas from this Malawian friend of yours.
 
Nilifikiri unawazungumzia wamalawi waliotapakaa wakifanya kazi za u hausboi, upishi na gardeners hasa kwa ma tx...na sifa yao kubwa ni kuongea kiingereza kizuri. usafi na uaminifu japo uaminifu kwa sasa unapotea polepole kama ilivyo wa walinzi wa kimaasai.
 
Spot on VC

Niliposoma thread nikajua wanataka kutuondolea wale walinzi, vijana wa kazi za mashambani nk. But its all good kuna hao maprofessor ni kweli wametusaidia sana

Ni wengi hata humu JF wako bwanji sana na michango yao ya nguvu mno hata lugha zao zimesimama zaidi (kizungu); zei spik gud inglish

Mh... hii mada ya kichokozi
 
Kuna rafiki yangu mmoja Mmalawi anafundisha chuo kikuu kimoja hapa Dar aliwahi kunieleza kuwa kwa viwango vya wanafunzi wa bongo anawaofundisha (chuoni) wengi wao wana viwango sawa na watoto wa shule za upili( sekondari) za kwao. Nilibisha sana, basi akaniamwambia wamalawi eti ni vichwa sana akanipa mifano kadhaa ya wamalawi waliopo hapa TZ ambao ni vichwa(na kweli hao watu ni vichwa sana). Aliowataja ni hawa hapa sasa sijua kama ni kweli

1. Profesa Mathew Luhanga

2. Profesa Nkoma wa TCRA

3. Profesa Msambichaka (wote wawili)

4. Marehemu Austin Shaba

5. Maremu Kambona

6. Marehemu Nyirenda wa Uhuru Torch Kilimanjaro

7. Kasesera wa mpira wa kikapu

8. Msowayas

9.Kasambalas

10. Chiume

11. Lifa Chipaka

12.
mmeanza ubaguzi?ukirudi nyuma zaidi hata wewe waweza jikuta tanzania umehamia tu,ukiambiwa marehemu karume alitoka burundi au rwanda utaamini?
 
Actually Karume alitoka Malawi, kuna watu wanasema familia ya Nyerere ndiyo ilitoka Rwanda-Urundi.

Ukirudi nyuma kabisa wabantu wote wametoka mitaa ya Nigeria Kaskazini kwenye nyanda za Jos, kwa hiyo wabantu wote warudi huko?
 
Wote asili yetu siyo Tanzania. Jaribu kurudi Kushi, kabla hatujagawanyika wengine kuelekea kusini mpaka arusha, wengine wakashuka mpaka karahali! wengine wakaenda kaskazini mpaka kuvuka bahari shamu. kama haishangazi kuona mmarekani mweusi mwenye asili ya uingereza, wala haitashangaza mtanzania mwenye asili ya malawi! SIAFIKIANI na wewe kuwa Wamalawi walioko Secondary School wana akili kuliko wabongo wa uni!!!!!!
 
Actually Karume alitoka Malawi, kuna watu wanasema familia ya Nyerere ndiyo ilitoka Rwanda-Urundi.

Ukirudi nyuma kabisa wabantu wote wametoka mitaa ya Nigeria Kaskazini kwenye nyanda za Jos, kwa hiyo wabantu wote warudi huko?

Sheikh Abeid Karume was apparently the son of a slave woman from Ruanda-Urundi who moved to Zanzibar when the boy was young. He had little formal education, in 1920 becoming a seaman working cargo boats out of the island. He ultimately rose to quartermaster. A member of the British Seamen's Union, after 1938 he operated a syndicate of motorboats carrying passengers to and from harbor ships.

hiyo kipande tu ya history yake.
 
Wabantu wote warudi Nigeria - sijui kama kutakalika huko.
 
Sheikh Abeid Karume was apparently the son of a slave woman from Ruanda-Urundi who moved to Zanzibar when the boy was young. He had little formal education, in 1920 becoming a seaman working cargo boats out of the island. He ultimately rose to quartermaster. A member of the British Seamen's Union, after 1938 he operated a syndicate of motorboats carrying passengers to and from harbor ships.

hiyo kipande tu ya history yake.

Karume alikuwa na baba na mama. Kama mama yake alitoka Ruanda-Urundi basi baba yake alitoka Malawi au vice versa. Hivyo asili zote mbili anazo.

Pili mpaka 1918, kabla ya kwisha kwa vita vya kwanza vya dunia, Ruanda-Urundi ilikuwa ni sehemu ya Ujerumani ya Afrika mashariki. Hivyo wazazi wa Karume walishakuwa Zanzibar kabla mipaka kugawanywa.

Makabila mengi yaliopo Malawi yana watu waliopo Tanzania, Zambia, Zimbabwe na Msumbiji. Hivyo sio haki kuwaita waMalawi waliopo Tanzania, wakati makabila yalikuwepo kabla Malawi au Tanzania haijaanza.
 
Karume alikuwa na baba na mama. Kama mama yake alitoka Ruanda-Urundi basi baba yake alitoka Malawi au vice versa. Hivyo asili zote mbili anazo.

Pili mpaka 1918, kabla ya kwisha kwa vita vya pili vya dunia, Ruanda-Urundi ilikuwa ni sehemu ya Ujerumani ya Afrika mashariki. Hivyo wazazi wa Karume walishakuwa Zanzibar kabla mipaka kugawanywa.

Makabila mengi yaliopo Malawi yana watu waliopo Tanzania, Zambia, Zimbabwe na Msumbiji. Hivyo sio haki kuwaita waMalawi waliopo Tanzania, wakati makabila yalikuwepo kabla Malawi au Tanzania haijaanza.
Vita ya kwanza ya dunia 1914-1918, vita ya pili 1939-1945...just kuweka rekodi sahihi.
 
Sheikh Abeid Karume was apparently the son of a slave woman from Ruanda-Urundi who moved to Zanzibar when the boy was young. He had little formal education, in 1920 becoming a seaman working cargo boats out of the island. He ultimately rose to quartermaster. A member of the British Seamen's Union, after 1938 he operated a syndicate of motorboats carrying passengers to and from harbor ships.

hiyo kipande tu ya history yake.

Babukijana, nashkuru kwa kuongeza japo nusu kurasa ya uelewa kuhus historia ya kisiwa kile tukufu
 
Actually Karume alitoka Malawi, kuna watu wanasema familia ya Nyerere ndiyo ilitoka Rwanda-Urundi.

You must be very good with Malawi history... obviously!!! BTW, Madonna anaongeza ka-baby kengine ati???
 
I don't give a sh**^^&&% we are all african and I'm proud to be african .....I mean Black african.
hii mipaka imewekwa na wakoloni lakini sisi ni DUGU moja ni vile waliweka mipaka kutugawanya.
I love u MAMA AFRICA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom