Wamakonde mna nini lakini?

Yote uliyoyaandika hapa ni ubatili mtupu.
 
Yap wengine wapo Dodoma na hapa goms dar ni mawife sana
Muwe mnafanya uchunguxi zaidi ukitaka kuoa mrangi. Ninafahamu vijana wawili wameoa wakaja kugundua wake zao wana watoto waliomaliza shule ya msingi. Mwingine alitoa talaka. Na mwingine kaletewa mjukuu wa nke wake. Shida nilgundua chuchu zao wengi hazilali hata akiwa amenyonyesha zinawahadaa vijana.
 
Yah wengi huchelewa sana kupata uzee
Kuhusu kuzaa sikatai wengi huzalishwa wakiwa wadogo na wanaume kuwakimbia (tabia mbaya) ila ukiwa nae maskini anakuwa mpole Kila kitu ni ndio baba (hupenda kuita "baba") ila ukienda pale kondoa na mitaa yake unachukua chuma kimemaliza la saba au Cha four mahari msahafu hapo kipengele ulete wewe kwenye kuchapa kazi ndio hatari zaidi mrangi kulima heka peke ake haoni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…