Ilishanitokea Mimi Hadi nikapiga nae story za shule kuhusu Benjamin Mkapa high school.Jamaa yuko Barabarani na wenzake alivyonidaka na kunichangamkia nilidhani ni mtu tunafahamiana.
Mkuu wewe ulidhani umepewa Juice ya Bure na Mwana mliyepotezana miaka mingi?Jamaa yuko Barabarani na wenzake alivyonidaka na kunichangamkia nilidhani ni mtu tunafahamiana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ilishanitokea Mimi Hadi nikapiga nae story za shule kuhusu Benjamin mkapa high school.
Kumbe jamaa ananiseti aniuzie juice... Sema juice zao naonaga Kama wanatengeneza kwenye mazingira machafu ndo maana sikunywa lucha ya yeye kunipa Glass.
Wako charming na wanajua saana kuunganisha story.
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo hapo karume 2012 walishawahi kunifanyia kama wewe nimechoka nimechakaa na bahasha yangu ya khaki na tafuta kazi maofisini...jua limenipiga nina njaa c akajifanya kunijua full kunichangamkia nikajisemea kimoyoni itakuwa rafiki yangu wa utotoni huyu.
Nimekunywa nimemaliza akaniambia toa 700 wakati huo sina nauli nimetoka posta kwa miguu naelekea tandika lilitokea battle sio ya dunia hii amechana shati mimi nimemwaga juice na keki
πππMlianza kuzichapa aiseeHapo hapo karume 2012 walishawahi kunifanyia kama wewe nimechoka nimechakaa na bahasha yangu ya khaki na tafuta kazi maofisini...jua limenipiga nina njaa c akajifanya kunijua full kunichangamkia nikajisemea kimoyoni itakuwa rafiki yangu wa utotoni huyu yeye amenikumbuka mimi nimemsahau.
Nimekunywa nimemaliza akaniambia toa 700 wakati huo sina nauli nimetoka posta kwa miguu naelekea tandika lilitokea battle sio ya dunia hii amechana shati mimi nimemwaga juice na keki
Ilikuaje kueje embu endeleaIlishanitokea Mimi Hadi nikapiga nae story za shule kuhusu Benjamin mkapa high school.
Kumbe jamaa ananiseti aniuzie juice... Sema juice zao naonaga Kama wanatengeneza kwenye mazingira machafu ndo maana sikunywa lucha ya yeye kunipa Glass.
Wako charming na wanajua saana kuunganisha story.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtakuja kupewa Sumu kupenda dezo