Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,086
- 29,524
Hawajaruhusiwa bali hawakuwahi kufukuzwa.Katika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria zipo lakini wanaogopa kuzitumia.
Kwahiyo mpo hapo kihalali?Hawajaruhusiwa bali hawakuwahi kufukuzwa.
Waliondolewa na mimi kibanda changu kilivunjwa ila sijarudi.Hawajaruhusiwa bali hawakuwahi kufukuzwa.
Wewe utakuwa gaidi.Wanakonde ni wabishiii ndugu hapo rangi mbili ilitakiwa wafukuzwe kwa 🔫
Syo mbagala tu, kariakoo ndo balaa.Katika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria zipo lakini wanaogopa kuzitumia.
Upo Mwanza na Shinyanga unachonga Meza alafu unayajua ya Manzense, Mzinga na Mbagala ?Mbona maeneo mengi wamerudi tu? Manzese, Mzinga, hapo Mbagala ndo kabisaaa, saivi wamekuja na mbinu mpya wana vimeza vifupi, Hapa Shinyanga na mwanza ndo kwanza tunachonga meza
Kama hawatii sheria mkuuWewe utakuwa gaidi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Upo Mwanza na Shinyanga unachonga Meza alafu unayajua ya Manzense, Mzinga na Mbagala ?
Weka ka pikitule basiKatika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria zipo lakini wanaogopa kuzitumia.
Hakuna wa KUWAZUIAKatika hali inayoonesha kuwa fungate imekwisha wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamerudi rasmi. Tujiulize muda na gharama zilizotumika nani atafidia? Hili ni tatizo la uongozi dhaifu kwani sheria zipo lakini wanaogopa kuzitumia.