Wamachinga vs Barabara za waenda kwa miguu

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,314
Reaction score
6,896
Awamu ya tano imepambana sana kwenye ujenzi wa barabara, mitaro na njia za waenda kwa miguu.

Pamoja na kutumika kwa fedha zote hizo bado kero ya waenda kwa miguu haijatatuliwa kutokana na uvamizi wa machinga katika njia hizo.

Je, serikali haioni ni wakati sasa wa kuwaondoa machinga katika njia hizo?

Jiji kama Dar es Salaam halivutii kila mahali ni kusukumana kutokana na ufinyu wa njia.
 
Mliambiwa ni wapiga kura hao!!! Mbona mnasahau?
 
Taaluma inapozidiwa nguvu na siasa. Tuna wataalamu wa mipango miji, wataalamu wa biashara, wataalamu wa uongozi, wataalamu wa afya na makazi, wataalamu wa usalama barabarani n.k lakini woote hao wamekuwa vibogoyo. Tunahitaji mifumo ambayo siasa inasikiliza taaluma inasemaje and not vice versa.
 
Hili bomu ni baya sana!
Kuja kuwaondoa itakuwa vita mbaya sana!
Miji imekuwa ya hovyo sana jamani!
 
Mfano hai ukiwa Ubungo. Aisee. Ikijaga swala la kutembea ile njia najifikiria sana.
 
Acha uchaw wew.wakale wapm.machinga hata hong kong wako. Acha usen.ge

Delhi wapo hivyo hivyo kama bongo..acha uma.ku

Wengne tuna magol yetu kibao huko barabaran na tumeziba kwel njia..lakin ndo yanaingiza za kutosha. Nauhakika magol yangu mawil yanaingiza mara mbil ya mshahara wako wa mwez mzima..pambaf
 
Hii dunia ya mipaka. Fanya biashara sawa ila hutakiwi panga biashara mpaka barabarani

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Acha uchaw wew.wakale wapm.machinga hata hong kong wako. Acha usen.ge

Delhi wapo hivyo hivyo kama bongo..acha uma.ku

Wengne tuna magol yetu kibao huko barabaran na tumeziba kwel njia..lakin ndo yanaingiza za kutosha. Nauhakika magol yangu mawil yanaingiza mara mbil ya mshahara wako wa mwez mzima..pambaf
Duh!..ungemjibu kiungwana tu.
 
Hii dunia ya mipaka. Fanya biashara huwezi panga biashara mpaka barabarani

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Nmekwambia hiv ..hata ukienda china.india..inshort 3rd world zote zina machinga.machinga huwakut ulaya tuu

Na kote huko wako barabarani...au hutembei mjomba..tembea.safir dunian huko utajionea

Hyo mipaka nchi za kimaskin kama hzi bado ndomana boda boda zmeruhusiwa kuingia mjin sasa hiv na wanafanya kaz

Msitake vi miji vyetu uchwara hiv kuvifanya kama sydney au paris..bado sasa.kwahyo machinga waachwe..machinga hupotea automaticaly..wenyewee yan ila sio kwa kuweka policy hzo za kuwatoa..kwenye nchi maskin machinga lazima
 
sawa, ila inshu ni kuziba njia. hatari ni kwa wapita njia, hatari zaidi gari ikiacha njia

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Pale Friends Corner Arusha kuna wakina mama wamekaa pembeni ya mataa ya kuongoza magari.

Hatari sana hii.
 
Acha uchaw wew.wakale wapm.machinga hata hong kong wako. Acha usen.ge

Delhi wapo hivyo hivyo kama bongo..acha uma.ku

Wengne tuna magol yetu kibao huko barabaran na tumeziba kwel njia..lakin ndo yanaingiza za kutosha. Nauhakika magol yangu mawil yanaingiza mara mbil ya mshahara wako wa mwez mzima..pambaf

Kuwa mstaarabu matusi ya nini. Unawekaje magoli yako barabarani kwani ni kiwanja chako. Utaratibu lazima ufuatwe, nenda basi kaweke goli lako nje ya Ikulu tuone.
 
sawa, ila inshu ni kuziba njia. hatari ni kwa wapita njia, hatari zaidi gari ikiacha njia

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app

Kwanza sisi tuko uchumi wa kati. Pili sio sababu kila kitu kinafanyika 3rd world country na sisi tufanye.
Angalia Rwanda mbona wameweza kumaintain na kuweka nchi yao safi.
Usafi na kupangilia vitu haujitaji hela ni akili tu.
 
Mkuu fanya mambo yako Achana kabisa na habari za machinga.
Huko kuna vijana wamejiajiri Gvt yako imewasusia kuajiliwa.

Huko kwa wanachinga ndio kuna mzunguko na upatikanaji wa bidhaaa kwa haraka. Hasa kwa tabia ya Wafrika wafanya manunuzi pindi wakioona vitu na sio wamepanga kununua.

Kuna maeneo wamachinga wanachsngamusha mji.
Sipingi hoja zako ila hawa watu ni mhimu sana tena sana..
 
Back
Top Bottom