Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 36,959
- 49,478
Huwa najiwa na wazo hata siku ya mwisho shetani atajitetea mbele ya mungu.Eeee mungu wangu mambo mengine binadamu ananisingizia
NI MAWAZO
asili ya matatizo yote ni shetani...
Huwa najiwa na wazo hata siku ya mwisho shetani atajitetea mbele ya mungu.Eeee mungu wangu mambo mengine binadamu ananisingizia
NI MAWAZO
asili ya matatizo yote ni shetani...
Yap tena anatulinda na kutubariki maisha mazuri, watoto, mali, nyumba, nk mpaka unaweza kusema tuko watatifuNdo kanuni yake...na ndo mana unaruhusiwa kufanya maamuzi uyatakayo...kuwa mzinzi, muuaji, mchawi n.k au kuwa mwema na mwaminifu...uchaguzi ni wako....na ndo mana tupo watu wa kila aina duniani na wote tunadunda kama kawa
[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]so tutapata taabu sannnaaaaa.!Ni kwa sababu Mungu ana taka watu wawe na uhuru wasimpende wala kumtumikia kwa kulazimishwa au kushurutishwa na kufosiwa bali aamue na kuchagua mtu mwenyewe kwa hiari yake kiufupi Mungu niwa demoklasia sana ingekuwa analazimisha mbona kila mtu angekuwa anamtumikia yy maana uwezo wa kukufanya umpende na kumtumikia anao ila ameeacha kwa kuwa ana demokrasia.....
NB: hata kama Mungu ni mvumilivu na anademokorasia na halazimishi ila ipo siku yake alioipanga ikifika hakuna cha msalia mtume watenda mabaya wote atatutia kibiriti cha moto usizimika milele..kwa tufanye kila liwezekanalo tuache njia zetu mbaya tumuleje baba yetu.. Maana anaon kila linalofanyika kote duniani na anashikwa na hasira sana ila anagoja siku ifike tutalia kilio cha kusaga meno tutamani aridhi ipasuke tujifiche ila wapi.