Walokole wanashangaza

Walokole wanashangaza

akili lazima iwe neutral na misisimko iwe active high mwilini ndio utaanza kuamini hayo ila kwenye bibilia hakuna imani wala watu wa namna hizo.
 
Katika mtaji ambao wale wachungaji WA me up at a ni kuwaaminisha imani.!Utakuta mtu kabeba maji dumu la lita 20 huku mwanae wa miaka miwili anamtembeza barabarani ukimuuliza kwako Hakuna maji anakuamboa haya ni ya upako.
Ukitaka kugombana nao anzia hapo
 
Unaehamia RC unajua siri yake ? Ni kwa nini ni matajiri wakubwa duniani ? Ni kwa nini mkuu wa kanisa kuitwa mtakatifu ? Ni kwa nini Vatican kuwa nchi yenye mabalozi ?
 
Dec 31 mpaka Jan uwa wanaombewa Sana wasio na kazi
Kuoa/kuolewa
Biashara n.k
Ikifika Dec mwaka mtu hamuulizi Yale aliyoaminishwa yamewezekana??????
Kama bado je,wapi alikosea?? Jitu halijiulizi ila litakija na mafuta na keki ya upako
 
Uko sahihi ktk duniya ya Leo Mwanadamu amefikia hatua ya kufanya madhambi mazito na maovu ambayo hata Shetani hajawahi kufanya na hatokuja kufanya kamwe
 
Hilo la kudunda halijanishawishi sana mkuu,maana adhabu yake ipo tu.
Ndio adhabu yake ipo....na ndo mana shetani pia adhabu yake ipo....tatizo ni kwamba mchakato huo unaathir roho za watu wengi sana kwa sasa, taabu. shida, mateso na taabu ni matokeo ya mchakato huo, na roho nyingi zinashuka kaburini bila tumaini kabisa...
 
Ohh!jlaniwe demokrasia tangu sasa na milele.!
 
Ohh!jlaniwe demokrasia tangu sasa na milele.!
Mkuu usiseme hvo...maana udikteta ndo ungeleta matokeo mabaya zaid kuliko yaliyopo sasa.....Mungu anahitaji utii wa hiari sio utii wa hofu au wa sababu nyingine zisizo na mashiko, unamwabudu Mungu kwa sababu ni Mungu na sio kwa sababu amekupa gari...kuna siku utamwomba mkate asikupatie swali linakuja ataendelea kuwa Mungu wako..
 
Wacha wamulaumu kwan we hujui kama shetani ndie baba na mwanzilishi wa uharibifu na maovu yote uyaonayo.
 
Mkuu usiseme hvo...maana udikteta ndo ungeleta matokeo mabaya zaid kuliko yaliyopo sasa.....Mungu anahitaji utii wa hiari sio utii wa hofu au wa sababu nyingine zisizo na mashiko, unamwabudu Mungu kwa sababu ni Mungu na sio kwa sababu amekupa gari...kuna siku utamwomba mkate asikupatie swali linakuja ataendelea kuwa Mungu wako..
Mmmmmh!! Natamani tungeenda na mistari,lakini sasa ngoja tu nikupe ushindi yaishe..maana alitujua tu dhaifu lakini akatutupia kwanzo only like "jihadharini na hilo dude" kweli??
 
WALOKOLE NI WAO TU NDIO WANA ANGUSHAGA WATU TU NA KAMERA...KILA MTU KWAO ANA PEPO...
 
Mambo mengine ni magumu kuyatafakari kwa akili ya kiubinadamu!hivi kwa nini Mungu aliruhusu shetani aishi?tungeanza na hilo kwanza.
Ni kwa sababu Mungu ana taka watu wawe na uhuru wasimpende wala kumtumikia kwa kulazimishwa au kushurutishwa na kufosiwa bali aamue na kuchagua mtu mwenyewe kwa hiari yake kiufupi Mungu niwa demoklasia sana ingekuwa analazimisha mbona kila mtu angekuwa anamtumikia yy maana uwezo wa kukufanya umpende na kumtumikia anao ila ameeacha kwa kuwa ana demokrasia.....

NB: hata kama Mungu ni mvumilivu na anademokorasia na halazimishi ila ipo siku yake alioipanga ikifika hakuna cha msalia mtume watenda mabaya wote atatutia kibiriti cha moto usizimika milele..kwa tufanye kila liwezekanalo tuache njia zetu mbaya tumuleje baba yetu.. Maana anaon kila linalofanyika kote duniani na anashikwa na hasira sana ila anagoja siku ifike tutalia kilio cha kusaga meno tutamani aridhi ipasuke tujifiche ila wapi.
 
Katika mtaji ambao wale wachungaji WA me up at a ni kuwaaminisha imani.!Utakuta mtu kabeba maji dumu la lita 20 huku mwanae wa miaka miwili anamtembeza barabarani ukimuuliza kwako Hakuna maji anakuamboa haya ni ya upako.
Ukitaka kugombana nao anzia hapo
halafu wewe achana na IMANI za watu
 
Unaehamia RC unajua siri yake ? Ni kwa nini ni matajiri wakubwa duniani ? Ni kwa nini mkuu wa kanisa kuitwa mtakatifu ? Ni kwa nini Vatican kuwa nchi yenye mabalozi ?
Mkuu mi najua mipango ya hao jamaa wa Vatican na kanisa la rc kwa ujumla ni noma mweny macho na aone na mweny masikia na asikie pia kuna mpango wa kumsimik yule jamaa wa Vatican ndo awe mungu wa dunia hii na inatakiwa kila mtu amuabudu kwa kupenda au kwa lazima.. Hatari sana
 
Back
Top Bottom