NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,096
Nimekuwa najiuliza ni kwanini wakristo walokole kila tatizo lolote wanasema ni nguvu ya shetani.
Hata mtu akiwa na ugonjwa wa akili wa kurithi bado watakuambia ni shetani.
Unakuta hata kama historia yake ya nyuma ilikuwa chafu inatia kinyaa akiokoka bado atakuambia ni shetani alimuingia.
Huwa najiwa na wazo hata siku ya mwisho shetani atajitetea mbele ya mungu. Eeee Mungu wangu mambo mengine binadamu ananisingizia
NI MAWAZO YANGU TU