Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Kakojoe ulale.....
Tuliza boli. CDM hawafanyi mambo kwa kubahatisha. Hizi ni kete zinachezwa kisayasi. Wakati huu tunawahitji wana CCM wengi waje CDM ili tuwatumie kuvurugana wenyewe kwa wenyewe. Kumbuka hata Marekani inarusha kete ISIS na ALQAIDA wanapigana wenyewe kwa wenyewe wakati ajenda yao ni moja! Hicho ndicho tunachokifanya kwa sasa. CCM wanakaribishwa CDM ili tuwatumie kama silaha za vita!!!!!Ushapu na uchangamfu wa wafuasi wa EL, kwa maana ya 4UM,Friends of Lowasa, Team Lowassa katika mitandao ya kijamii (tangu kuhamia kwao cdm) umewafunika hata makamanda wa long time. Hii inanikumbusha jamaa fulani waliwahi kuokoka kanisani - katika mda mfupi wa uokovu wao waliweza kucheza na kuimba mapambio kwa mikogo zaidi hata ya wenyeji. Walikemea na kuomba kwa kulia kwa sauti ya juu hadi wakawa kero. 'Hii sasa sifa?' sauti ilisikika. Ndivo ilivyo kwa akina Ocampo four, MUSSA ALLAN, and the like hapa jukwaani. Tangu 'wameokoka' wanashambulia jukwaa kwa fujo hadi kero. Keep it up guys!
Tuliza boli. CDM hawafanyi mambo kwa kubahatisha. Hizi ni kete zinachezwa kisayasi. Wakati huu tunawahitji wana CCM wengi waje CDM ili tuwatumie kuvurugana wenyewe kwa wenyewe. Kumbuka hata Marekani ilimtumia Osama kuisambartisha Urusi. Hicho ndicho tunachokifanya kwa sasa. CCM wanakaribishwa CDM ili tuwatumie kama silaha za vita!!!!!
Such an old barmaid, no. Just need your juicy daughter Lusunji.
Njoo ule tango uukune mdomo huo maana unakuwasha sana...
Makamanda wapo tayari kukunyoosha si nasikia mumeo hayupo??
Njoo ule muhogo wa jang'ombe.
Ushapu na uchangamfu wa wafuasi wa EL, kwa maana ya 4UM,Friends of Lowasa, Team Lowassa katika mitandao ya kijamii (tangu kuhamia kwao cdm) umewafunika hata makamanda wa long time. Hii inanikumbusha jamaa fulani waliwahi kuokoka kanisani - katika mda mfupi wa uokovu wao waliweza kucheza na kuimba mapambio kwa mikogo zaidi hata ya wenyeji. Walikemea na kuomba kwa kulia kwa sauti ya juu hadi wakawa kero. 'Hii sasa sifa?' sauti ilisikika. Ndivo ilivyo kwa akina Ocampo four, MUSSA ALLAN, and the like hapa jukwaani. Tangu 'wameokoka' wanashambulia jukwaa kwa fujo hadi kero. Keep it up guys!
It is a moment now I discover, I argue with a brown experienced ----- swine. No waste my time any more!
It is a moment now I discover, I argue with a brown experienced ----- swine. No waste my time any more!
Mwaka Huu Tutaheshimiana Tu, Hakatwi Mtu Hapa, Mi Mpaka Nimeshonesha Chupi Yangu Imeandikwa Lowasa Rais, Dr Slaa Waziri Mkuu, Prof Lipumba Gavana Wa Benk Kuu, Mbatia Waziri Wa Mambo Ya Nje, Makaidi Waziri Wa Nchi Katika Ofisi Ya Rais. Halafu Kwenye Uchaguzi Watuibie Kura, Mbona Patachimbika!

kwa taarifa yako hiyo ni project, vijana wananunuliwa laptop au simu halaf wanapangiwa room yaan kazi ni hiyo tu day & night 24/7-ni kutoka kwenda kujisaidia tu.
main camp ipo CBE na vijana wanagonga hela pale
Hayo maandishi yanasomeka kweli mkuu mbona mengi sana kukaa kwenye chupi au ndefu sana unitupie dizaini ili tuwe wengi watu washikwe na matumbo ya kusokota
kwa taarifa yako hiyo ni project, vijana wananunuliwa laptop au simu halaf wanapangiwa room yaan kazi ni hiyo tu day & night 24/7-ni kutoka kwenda kujisaidia tu.
main camp ipo CBE na vijana wanagonga hela pale
Ushapu na uchangamfu wa wafuasi wa EL, kwa maana ya 4UM,Friends of Lowasa, Team Lowassa katika mitandao ya kijamii (tangu kuhamia kwao CDM) umewafunika hata makamanda wa long time.
Hii inanikumbusha jamaa fulani waliwahi kuokoka kanisani - katika mda mfupi wa uokovu wao waliweza kucheza na kuimba mapambio kwa mikogo zaidi hata ya wenyeji.
Walikemea na kuomba kwa kulia kwa sauti ya juu hadi wakawa kero. 'Hii sasa sifa?' sauti ilisikika. Ndivo ilivyo kwa akina Ocampo four, MUSSA ALLAN, and the like hapa jukwaani.
Tangu 'wameokoka' wanashambulia jukwaa kwa fujo hadi kero.
Keep it up guys!