Walokole sijui mnakwama wapi?

Walokole sijui mnakwama wapi?

Bila shaka umeleta uzi ili tuwasengenye bila shtaka linaloeleweka. Kwa yoyote ulivyotendwa unastahili, Katika jamii ukiona wengi wamekutenda ujue ww ndie mwenye matatizo. Kwanza si ufahari kujisifu nimekuwa katika mahusiano na walokole kadhaa, wewe ni kivuruge ulitaka uwatumie ukidhani imanj yao ndio ngazi yako. Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa coment.Ntaifanyia kaz mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za kumiliki totoz za kilokole! Mana nimeokoka makanisa tofauti bila kuramba!

Sent using Jamii Forums mobile app
mbinu anazotumia mmalekani kumdhoofisha mwarabu ni zile za kuweka makundi ya kigaidi, lkn mbinu anazotumia kwa mwafrica ni condom kutudhoofisha, wote ni binadam lkn kila mmoja andhoofishwa kwa udhifu wake! nikiwa na maana, kuwa kila dem anafanyiwa mashambuliz kulingana na udhaifu wake, ukifaham udhaifu wa mtu hata awe mtoto wa shetan lazima umle tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua ktk mahusiano kadhaa na mabinti wakilokole,tulipokua tunaanzana walinilazimisha kuokoka,nlifanya ivo ili kuongeza maombi,tatizo linakuja pale unapobaini mwenzi wako n mwongo na mnafiki.Hawa watu cjui ulokole wao uko wapi..mana visa nlofanyiwa cwez eleza hapa..majemedar wenzangu mnatumia mbinu zipi kushinda vita? Naruhusu mapofuu ya omo pia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwnz unatakiwa kujua nn maana ya kuokoka ili next time usihukum watu kwa matendo yao,kuokoka ni kuzaliwa upya,refer Bwana Yesu alipokua anamwambia nikodemo,so mtu kuokoka haimaanishi kuwa hatendi dhambi,ni km mtt anapozaliwa haanzi hapohapo kutembea na kuongea,kukua kiroho na kuacha dhambi ni hatua ya ukuaji na inachukua muda mtu kubadilika na kufikia CHEO CHA KIMO CHA UTIMILIFU WA KRISTO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza,kutokana na jinsi ulivyoandika na unavyojisifu kwa namba na pia mazoea yako ya kuomba /kutafta mke mtandaoni,WEWE NI MWONGO.HUKUWAHI KUWA NA MABINTI WALOKOLE WATANO,5. Na haupo serious maana visa ulivyokutana navyo hukubaniasha hapa,kwaio usituzoee. Endelea kutafta mke kwa nyuzi nyingi nyingi utampata tu.
 
Kwanza,kutokana na jinsi ulivyoandika na unavyojisifu kwa namba na pia mazoea yako ya kuomba /kutafta mke mtandaoni,WEWE NI MWONGO.HUKUWAHI KUWA NA MABINTI WALOKOLE WATANO,5. Na haupo serious maana visa ulivyokutana navyo hukubaniasha hapa,kwaio usituzoee. Endelea kutafta mke kwa nyuzi nyingi nyingi utampata tu.
Ntakutatua marinda,endelea kunifata fata.
 
Back
Top Bottom