Walokole sijui mnakwama wapi?

Walokole sijui mnakwama wapi?

Unafiki wako unakufanya uingie ulokole ili kumhadaa mtumishi wa Mungu afu utegemee mema? Shetani yuko kazini ila mabaya yote upatayo chanzo ni wewe mkuu.
Okoka kiukweli uwe mtumishi acha kuigiza fanya kulitii neno kwelikweli (total submission to Jesus).
 
Yayani kwa kifupi ww ndo ULIKWAMA coz umekubali visa hivyo vikukute,mi nilitegemea kuwa utamchomoa binti wa kilokole kumbe umechomolewa wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua ktk mahusiano kadhaa na mabinti wakilokole,tulipokua tunaanzana walinilazimisha kuokoka,nlifanya ivo ili kuongeza maombi,tatizo linakuja pale unapobaini mwenzi wako n mwongo na mnafiki.Hawa watu cjui ulokole wao uko wapi..mana visa nlofanyiwa cwez eleza hapa..majemedar wenzangu mnatumia mbinu zipi kushinda vita? Naruhusu mapofuu ya omo pia!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yohana 17:17

Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.

warumi 12 :1-2

Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.

Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

Waefeso 4 : 13-15

Hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo; ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu. Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Kwa mistari hiyo hapo juu utaona kwamba baada ya mtu kuokoka anatakiwa asome Neno la Mungu (Biblia) ili kuigeuza nafsi (Battle field) yake iliyokuwa hapo awali inatumika kwa mambo ya giza. Hili zoezi linachukua muda kulingana na jinsi mtu alivyodhamiria kumfuata Kristo. Hata hivyo niseme tu kwamba hao mabinti waliokuvuta kanisani ili yamkini uwaoe baadaye wanaweza kuwa genuine (wakristo wa kweli) walio desperate kuolewa au wasiokoka waliopo kanisani ambao wanajaribu wanajaribu kutumia mwavuli wa kanisa kuolewa. Ningefurahi kama ungedadavua kwa kirefu ulichomaanisha uliposema mna mahusiano.

Ahsante
 
Muulize huyo anapokwama,usitujumlishe walokole wote km waongo

Kuokoka sio guarantee kwamba hutatenda dhambi ama kujaribiwa na shetani

Halafu pia hiyo Ni tabia ya mtu binafsi..kwanini ugroup walokole wote km wanafiki kwa sababu tu ya huyo mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka nikomenti , ila umeyawakilisha mawazo yangu vyema.
Yesu asifiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu walokole wengi wamechanganikiwa, ukimtongoza tuu kitu chakwanza anataka uende kanisani kwao, ukishaenda kanisani kwao jiandae kwa mapicha picha, kuna moja nilimtongoza akaniambia niende kanisani kwao mzee mzima nikajitosa, he baadae akaniambia niakawaone wazee wakanisa niwaeleze kuwa nampenda yeye, ha! Nilimtukana matusi ya nguoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize huyo anapokwama,usitujumlishe walokole wote km waongo

Kuokoka sio guarantee kwamba hutatenda dhambi ama kujaribiwa na shetani

Halafu pia hiyo Ni tabia ya mtu binafsi..kwanini ugroup walokole wote km wanafiki kwa sababu tu ya huyo mmoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kuwa walokole wengi wao ni watu wa hovyo sana,.ni wanafki,wanakiburi,majivuno,majungu,waanajisikia...kiufupi wana roho ya mpinga kristo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka umeleta uzi ili tuwasengenye bila shtaka linaloeleweka. Kwa yoyote ulivyotendwa unastahili, Katika jamii ukiona wengi wamekutenda ujue ww ndie mwenye matatizo. Kwanza si ufahari kujisifu nimekuwa katika mahusiano na walokole kadhaa, wewe ni kivuruge ulitaka uwatumie ukidhani imanj yao ndio ngazi yako. Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu walokole wengi wamechanganikiwa, ukimtongoza tuu kitu chakwanza anataka uende kanisani kwao, ukishaenda kanisani kwao jiandae kwa mapicha picha, kuna moja nilimtongoza akaniambia niende kanisani kwao mzee mzima nikajitosa, he baadae akaniambia niakawaone wazee wakanisa niwaeleze kuwa nampenda yeye, ha! Nilimtukana matusi ya nguoni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipaswa kujua maana ya wokovu ndio ungeleta uzi humu,inavyoonyesha hao hawakuwa walokole bali wamejificha kwenye ulokole kwa sababu wanazozijua wenyewe NA hata wewe mwenyewe ulivyoshawishiwa kuokoka uliokoka kwa sababu zako binafsi ndio maana hizo vita ulizokumbana nazo zikakushinda...
Tatizo nyegez mkuu..wala mimi simo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh unasema na wewe uliokoka...uka-date na walokole watano!!!!

Si ajabu tatizo liko kwako kwa kudhani walokole Ni malaika na ukashindwa kusimama kwenye zamu yako. Unaona mapungufu ya hao wa5 halafu wewe upo perfect!!!!
Viswaswadu tu! Wote sim za maboya kila saa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yohana 17:17

Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.

warumi 12 :1-2

Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.

Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.

Waefeso 4 : 13-15

Hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo; ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu. Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo.

----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------

Kwa mistari hiyo hapo juu utaona kwamba baada ya mtu kuokoka anatakiwa asome Neno la Mungu (Biblia) ili kuigeuza nafsi (Battle field) yake iliyokuwa hapo awali inatumika kwa mambo ya giza. Hili zoezi linachukua muda kulingana na jinsi mtu alivyodhamiria kumfuata Kristo. Hata hivyo niseme tu kwamba hao mabinti waliokuvuta kanisani ili yamkini uwaoe baadaye wanaweza kuwa genuine (wakristo wa kweli) walio desperate kuolewa au wasiokoka waliopo kanisani ambao wanajaribu wanajaribu kutumia mwavuli wa kanisa kuolewa. Ningefurahi kama ungedadavua kwa kirefu ulichomaanisha uliposema mna mahusiano.

Ahsante
Mkuu ntamalizia kusoma kesho! Ndef sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom