Walofanya Interview Bank Tellers NMB Mtwara

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
Wapendwa wasaka ugali . hivi kuna mtu anajua chochote kuhusu interview ya Bank Tellers Mtwara (NMB), mm naona kimya sjui wenzangu mshaitwa???? tujuzane please
 

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
195
Kuna tuliofanya morogoro tukaandikiwa SMS tupo received ila mpaka Leo kimya mweh
yaan ndo wanatuweka njia panda kama hatujapata waseme tu maana watu tumetumia gharama na mudaharafu hawasemi kitu hii sio fair
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom