Wallah Sheikh Kipozeo hapa anasubiri

Japokuwa katumia lugha ya kitaa, lakini ujumbe umewafikia walengwa.
 
Siyo mimi bali ni maneno ya waislam wenzako mliopotoka kama wewe kuna la uongo nililosema hapo?
Kwanza umemuelewa Maalim vizuri?

Hata Mtume alisisitiza hilo kuwa wanawake ni furaha ya Waume zao, wajirembe na kuwatamanisha wawezavyo ilimradi wapo faraghani.
 
Kwanza umemuelewa Maalim vizuri?

Hata Mtume alisisitiza hilo kuwa wanawake ni furaha ya Waume zao, wajirembe na kuwatamanisha wawezavyo ilimradi wapi faraghani.
Sawa lakini siyo kwa kuwaza kuwa eti mtawakuta hadi mbinguni na kila mwanaume atapewa wanawake mabikra 72 aisee wanaume wa kiislam mnawaza kungonoka tu haani duniani mngonoke msimkumbuke Mungu na mbinguni napo mkangonoke msimkumbuke Mungu? Hebu acheni kuichafua mbingu bwana hakuna tendo la ndoa kule ni kusujudu tu

Asiyeamini basi huyo anataka kwenda sehemu nyingine tofauti na mbinguni ambapo ni motoni tatizo mimi nikisema nitaambiwa kila kitu napenda kushindana na wanaume hahahaha basi poa endeleeni kuwasubiria hao wanawake maana kuambiwa ukweli hamtaki mnasema tunashindana na nyie jitahidini mwaya mfanye matendo mema muende mbinguni mkakutane na hao wanawake
 
Matendo mema? Yapi hayo?
 
Matendo mema? Yapi hayo?
Kwangu mimi matendo mema ni kufuata amri za Mungu tu hakuna kingine ila kwao wao matendo mema si kuoa wake 4? Kwahiyo wakifa wakaenda mbinguni wanaenda kuongezewa wake 72 tena mabikira yaani kwao sheria za sunna ndo wanazifuata sababu zinawanufaisha ila zile sheria za fardh ndo hawazifuati sababu haziwanufaishi
 
Asante mpendwa[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hiii ndo Tabu ya waislam kusimamiwa na BAKWATA kipozeo ni kama yule mchungaji anayejiita miti mingi huwa anahubiri ngono kanisani
Walishajua wakiongelea uhusiano wanapata wafuasi wengi pamoja na mapato
 
Kuna mambo huwa yananichanganya nakosa majibu hivi yule nabii aliyepaa na farasi yeye Mbinguni ameingia kwa mfumo wa mwili au roho ?
Na wale Farasi wako wapi ? Au walirudi duniani baada ya kumfikisha jamaa ?
 
yani huku depo la kusali na kusujudu kumbe tukifika huko tunaliendeleza milele duh!!! vp ukitegea kidogo unafukuzwa?//
 
Kwahiyo unataka kusemaje labda? Unataka kusema kwamba mtu akifa akafukiwa kaburini mwili ule ule uliofukiwa ndo unaenda mbinguni? Duuh hebu nielezee hiyo process aisee nilikuwa sijui anatokajetokaje humo kaburini?
 
yani huku depo la kusali na kusujudu kumbe tukifika huko tunaliendeleza milele duh!!! vp ukitegea kidogo unafukuzwa?//
Ndo hapo sijajua ila hadi umefanikiwa kuingia mbinguni basi ujue Mungu kashajua kwamba utategea ua hautategea na ana vigezo vingi vya kumchagua mtu kuingia ambavyo ni siri yake hivi tunavyovijua sisi ni baadhi tu na ni minor sana
 
kwahiyo tule bata tu
 
kwahiyo tule bata tu
Ule bata? We fuata sheria na amri zake tu siyo ufanye dhambi makusudi eti kwa sababu hujui vigezo vyake hapana wewe play part yako na yeye atafanya the rest
 
Ule bata? We fuata sheria na amri zake tu siyo ufanye dhambi makusudi eti kwa sababu hujui vigezo vyake hapana wewe play part yako na yeye atafanya the rest
basi maisha magumu sana yani hakuna bata zozote si hapa wala huko ,kote full depo ni mwendo wa kusujudu mpaka tukome
 
Hawa watu mahubiri yao asilimia kubwa ni mwanamke tuu hawana kingine sasa sijui na watoto wadogo wamehudhuria swala hapo? Maana wakristu wao wana ibada rasmi za watoto na mafundisho ya watoto wakiwa peke yao sasa kwa wenzetu sijui wana utaratibu huo kwenye ibada zao, hapo kiongozi wa dini ndio anaongoza kumomonyoa maadili unafikiri watoto wakitoka kwenye hiyo ibada si wanakwenda kwenye practicle?
 
Kwahiyo unataka kusemaje labda? Unataka kusema kwamba mtu akifa akafukiwa kaburini mwili ule ule uliofukiwa ndo unaenda mbinguni? Duuh hebu nielezee hiyo process aisee nilikuwa sijui anatokajetokaje humo kaburini?
Usijifanye una akili nyingi wewe jamaa ,umesema kinachoenda mbinguni ni roho na sio mwili ,na mimi nikauliza swali yule Nabii aliyepaa na Farasi aliingia Mbinguni kwa roho au mwili ? Hao farasi wako wapi ?
 
Kuna mambo huwa yananichanganya nakosa majibu hivi yule nabii aliyepaa na farasi yeye Mbinguni ameingia kwa mfumo wa mwili au roho ?
Na wale Farasi wako wapi ? Au walirudi duniani baada ya kumfikisha jamaa ?
Ni nabii gani aliyepaa mbinguni na farasi huyo?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…