Wallah nitakuroga, Chezea hao hao siyo mimi

Wanawake huambizana kabisa kuroga wanaume wao wa ndoa Na wale wa michepuko,

Wanawaambiana kama Mwanaume anakupa hela mroge mshike asije akakuacha [emoji108]

Wengine wanaambiwa hivyo na wazazi wao mama zao , imagine [emoji848][emoji848]

Mtu ataacha kufanya alichoambiwa na mama mzazi ?
 
Achana naye mwehu huyo,akuroge kwani analijua jina la mama ako???kama ulimtajia basi UMEKWISHA.



Hata bila jina la mama inawezekana, wanatumia Hawa mama wa wote!

Sema akilijua inakamata haraka vifungo
 
Wengine wanapewa dawa na mama zao kamuwekee mume wako au hawara yako atazidi kukupenda na kukupa kila utakachomwambia mfano pesa, kiwanja, nyumba , gari , simu , kodi n.k

Akishamuwekea Mwanaume wa watu ataanza kuumwa na kuugua vema akikumbuka kukaguliwa sehemu sahihi lakini wengine unakuta Ndiyo ntokee na kupoteza maisha [emoji108][emoji108]
 
Mama wengine wanawaambia watoto wao wa kike waloolewa mapemaaa โ€œ mroge mume wakoโ€ usipmroga wewe michepuko watakusaidia kumroga.

Unaweza kuona jinsi wanaume wanavyorogwa ndani na nje ya ndoa!
 
Kuwa mbali na mwanamke anayehusudu mapenzi ya dawa...ipo siku atakupa limbwata hilooo,utakuwa kama msukule
 
Kuna sehemu kasema huyo demu mswahili?
 
Mimi naona kwa kuwa umemdanganya na kumchezea mtoto wa watu na unataka kumuacha ili uende kwa mwingine uliemdanganya

Basi mimi naona kubali kurogwa tu maana ndio hukumu yako
Muulize kama anataka nywele au nguo au chochote cha kumalizia kazi ili uwe zezeta au muokota makopo

Yaani ukubali tu adhabu maana mnawaonea sana
Nina watoto wangu pia na wewe utapata wa kwako siku moja then utakumbuka haya ya kutokuwachezea wana wa watu

Ila kama ni hadithi ya mafundisho basi hitimisha tu
 
Nami usisahau nampatia pesa n.k na kwenye styles nami nipo pia. Tunatumiana tukichokana tunaachana. Ole wake aniroge ntamfanya jambo baya sana huyu mbwa.
 
Daaaah..... Bob nimeshamwambia nitamfanya kitu kibaya aache ujinga. Mi sijamwahidi kumuoa. Kama vipi tuachane kwa amani tu.
 
Hahahha.. Kasheshe.. Kwanini hutaki kuwa nae milele? Na kama ulikuwa huna mpango wa kuwa nae milele ulimtongoza wa nn? Wapo wengi ambao hawachabangwi na kudampiwa. Ni bora afe kuliko umuache. Kila mtu ana moyo wake.
 
Hata kama hajaambiwa na mama mzazi, hakuna mtu atakubali riziki yake iende kwa mwingine yeye aww mpenzi msikiaji au mtazamaji. Wanaume watamalizwa kwa style hii. Hapo kama una watt kwenye ndoa andika maumivu. Maana hata akiumwa mpka kufa hutowajali. Haya mambo ni janga kwa familia.
 
Mama wengine wanawaambia watoto wao wa kike waloolewa mapemaaa โ€œ mroge mume wakoโ€ usipmroga wewe michepuko watakusaidia kumroga.

Unaweza kuona jinsi wanaume wanavyorogwa ndani na nje ya ndoa!
Nashanga huyo aliyesema hapo juu watu wakioa wataepuka hayo. Angejua kwenye ndoa ndio vilinge vilipolala kabisaaa.
 
Daaaah..... Bob nimeshamwambia nitamfanya kitu kibaya aache ujinga. Mi sijamwahidi kumuoa. Kama vipi tuachane kwa amani tu.
Basi mwambie tu ukweli wa kuwa ulikuwa unapoteza mda nae kwa matamanio tu na sasa huna haja nae tena

Uhame tu hiyo sehemu sasa
 
Nami usisahau nampatia pesa n.k na kwenye styles nami nipo pia. Tunatumiana tukichokana tunaachana. Ole wake aniroge ntamfanya jambo baya sana huyu mbwa.
Hahaha..................kumbe wote mpo kwenye Win - Win Situation ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ