Wallah nitakuroga, Chezea hao hao siyo mimi

Kama ni Ishu ya kweli acha mazoea na Huyo Demu (Mswahili) atakuroga kweli na uoga wako.

La sivyo Kama kawaida yenu ya kutaka attention humu kwa story zenu za uongo kama Bongo Movies, Mitandaoni wanasema Wana hela baada ya mwaka wakiumwa hela hakuna wachangiwe.

Mshikaji wetu alirogwa akawa fara kwa Demu fulani hv mswahili sana afu kicheche Mbwa.
Mchimbe, kata mazoea nae (Mwajuma) kabisa.
 
Muache kuwapotezea muda Wadada wa watu.

Binti akiangalia anakufulia akija ghetto, anakupikia, anadeki binti wa watu, kitanda anakutandikia na ukija kwenye kumtumia unamtumia hasa round 4 kila siku huku ukimbadirisha mikao leo Popo Kanyea mbingu, doggy n.k

Ila kuna wanaume wenzetu wana dhulumu haki za husband to be wa watu, hivi hata ukimwacha huyo binti Mwanaume atakayemwoa kweli ataambulia chochote si kila kitu amekufanyia wewe🙌

Hapo Mkuu kulogwa lazima chief🤪
 

Wee jamaa bana,
mkubwa hivyo unatishiwa nyau unaingia kingi? mkubwa hivyo unaogopa kurogwa?
mpaka hapo umesharogwa. ukilala na mwanamke yeyote akiamua kukuroga unarogeka kilaini sana. Wewe jamaa sasa tayari uko nyavuni, ndiyo maana unapiga mayowe. Na zile condom ndiyo umemrahisishia kumpa apparatus za kukutengeneza. 😂 😛 🤣
 
Nenda kaaguliwe maana alishakuroga kwa jina lako ndio maana ukajipa jina la chizi.

Kisha wakuwekee zindiko ambalo akithubutu kutaka kukuroga vinamrudia yeye mwenyewe kwa kadiri alivyokusudia.
Wkikuchimbia shimo anaingia mwenyewe.

Angalia asikutie mikosi na nuhusi.
 
Akumulikae mchana usiku atakuchoma.

Usipuuze anachokwambia.

Yote sababu ya utegemezi na njaa .

Mwanamke akiwa maskini na mwenye kipato kidogo tegemezi mara nyingi huwa wachawi Na washirikina ili wasiachwe maana hawana pa kushika.
 
Huyu atakuwa ni demu wa Kichagga tu au Mpare maana hawa ndiyo wana hizi tabia na mara nyingi wanafanya hivi baada ya kuona miaka imekwenda, wanalazimisha kuwa na mtu na kuwachimba mikwara ya uchawi.
 
Kama anajua haya kuhusu wewe akiamua kukufanyizia ni very simple.

1. Tarehe yako ya kuzaliwa
2. Jina la mama yako
3. Kitu chochote kutoka kwenye mwili wako au ulichowahi kutumia hata kama ni uzi wa nguo ,chochote kile .

N.b
Acheni dating , Muoe kujiepushe na mambo kama hayo.

Kingine jiepushe sana na uchawi maana umepaniki hadi unataka kujiingiza kwenye ushirikina ambao hata faida hauna zaidi ya hasara.
 
Hao walozi walozi ndo watamu sasa kitandani yani kabla ujampachika mti nyama unamtekenya na usinga

Unanyonya chuchu alafu unanyonya kibuyu


hatakaa akuroge
 
Muache tuu endelea na maisha yako mchawi hua hatishii analoga tuu huyo hawezi kukuroga, alafu una onekana umepata woga na hofu Sana chukulia poa tuu, mshamba tuu huyo asikutishe
 
Angekuwa mwanamke mwenye financial freedom asingefikiria kukuroga hata kidogo.

Anajua hata bila mwanaume wa kumpa mia maisha anayamudu, sasa atake kukuroga ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…