Waliviita ni Vyama vya Msimu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliviita ni Vyama vya Msimu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chapa Nalo Jr, Mar 8, 2011.

 1. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka wakati wa kampeni moja ya matusi ya CCM kwa vyama vya upinzani walisema ni vyama vya msimu wa uchaguzi tu, baada ya hapo vinalala

  Sasa Chadema wameamua kuwa chama cha muda wote CCM wanaweweseka, naomba watulie wao ndio waliowazindua Chadema kwa hilo tusi lao wakati wa kampeni

  Mimi si mwanachama wa chama chochote lakini siungi mkono chama kimoja kutawala zaidi ya miaka kumi na tano. Kubadilishana chama (sio sura ya kiongozi) ni muhimu sana, huwa inaleta changamoto hivyo maendeleo huja kwa kasi, maana kila chama tawala kitafanya bidii kulinda heshima. Kanu-Kenya ilitawala bila heshima na sidhani kama wananchi wataikumbuka tena, na hivyo nadhani itakuwa kwa CCM.
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .....kama ni vyama vya msimu, msimu huu basi wataona msimamo wa mchezo!!!
   
 3. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kama waliviita vya msimu naona huu ndio msimu wa CDM kwani naona Kikwete,Pinda,Chiligati wote wanalia
   
 4. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda walikuwa wanamaanisha vyama vya mtelephone....yaani mobile parties....hehehe....JOKES
   
Loading...