Walisema hakijai mbona kimejaa!!!!!halooooooooo

Mbona haueleweki sema ni fafanua ni kitu gani hakijai majungulize vs mafumbo tata hatupendi hapa.
 
Subash
kisichokukuna we chakuwashia nini ???unalo babuuuuuuuuuuuuuuuuu lohhhhhhhhhhhhhhhhhhhh@@@@@@@@kaogeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kimejaaa kinini?Kitambi au kimimba ndo maana ameshika tumbo kutuonyesha?Ongera

Ama kumbe mimba! mimi nildhani kilauri nikajua hayo ndio yale matumbo yetu ya kawaida.......sasa pete ya ndoa iko wapi? au ndio kutoka Single?
 
kimejaaa kinini?kitambi au kimimba ndo maana ameshika tumbo kutuonyesha?ongera

mungu si athuman ana kikwapa kizuri jamani kupata demu wa vikwapa vya rangi kama vile alafu vimenyolewa nadra sana sana labda uarabuni
 
nani sasa hajai kumbe kajaa ni mkeo au ni ww mwenyewe?
mbona unakuja na mada za leo tena kama clouds?
weka wazi
 
atakuwa ni huyo dada wa mwanzo kulia picha ya kwanza kwenye uzi... Ni mjamzito... Na inaonyesha ni yeye mwenyewe mtoa uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…