Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Habari wakuu,
Upinzani Tanzania una safari ndefu sana kujifunza jinsi ya kutengeneza taasisi imara za kisiasa sio vikundi vya kiuwana harakati,Siasa za upinzani ni zaidi ya kutukana serikali,siasa ni zaidi ya kuandamana, siasa za upinzani ni zaidi ya kutengeneza matukio ya kujipiga risasi na kufichana ili kupata huruma ya wananchi siasa ni tactical,strategies na intelijensia ya kujua adui anatumia mbinu zipi na wewe utumie mbinu zipi sio kukurupuka na matukio tuu bila kuwa na ajenda na sera zenye base ya maendeleo na kumgusa mtanzania mmoja mmoja na sio porojo porojo sijui Rais kasema hivi mara Rais hamsalimia nani,mara Rais kachapia yani hoja za udaku na umbea.
Tukija kwenye intelijensia upinzani always wana majibu mepesi katika maswala mazito kama kwanini wanashindwa chaguzi jibu lao always ni wameibiwa kura miaka nenda miaka rudi wanalalamikia kuibiwa je kama wanashindwa kulinda kura zao je watatuaminisha nini sisi wanamchi juu ya ulizi wa rasilimali zetu na ulinzi wa raia,Ukija kwenye suala la wimbi kubwa la watu kukimbia upinzani watakwambia wamenunuliwa jibu jepesi sana au watakwambia waache wahame bila kufatilia na kutafakari madai ya wanaohama je watatuaminisha vipi watanzania kuwachagua 2020 ili hali tunajua watatutia hasara zza chaguzi za marudio si bora kumchagua mnunuzi kuliko mnunuliwaji sawa na kumpelekea shida zako slave na kumuacha slave master.
Mwisho naomba kuwakumbusha kutengeneza mifumo ya kuandaa viongozi na sio kutegemea viongozi kutoka CCM tukumbuke nape aliwah kuwaambia CCM itashinda hata kwa goli la mkono wakahisi wataibiwa kura kumbe goli la mkono ni Edward Lowassa genius wa siasa ambaye baada ya kuchafuliwa akaenda kwa waliomchafua na kupokelewa na kada mtiifu wa CCM Mbowe bila kuwashirikisha kamati kuu wakazunguka nchi nzima kumsafisha baada ya kujiridhisha ametakata akaamua kurudi anapotakiwa kuwepo.