Walipoambiwa goli la mkono wakajua kuibiwa kura kumbe Lowassa ndio alikuwa goli la mkono

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu,

Upinzani Tanzania una safari ndefu sana kujifunza jinsi ya kutengeneza taasisi imara za kisiasa sio vikundi vya kiuwana harakati,Siasa za upinzani ni zaidi ya kutukana serikali,siasa ni zaidi ya kuandamana, siasa za upinzani ni zaidi ya kutengeneza matukio ya kujipiga risasi na kufichana ili kupata huruma ya wananchi siasa ni tactical,strategies na intelijensia ya kujua adui anatumia mbinu zipi na wewe utumie mbinu zipi sio kukurupuka na matukio tuu bila kuwa na ajenda na sera zenye base ya maendeleo na kumgusa mtanzania mmoja mmoja na sio porojo porojo sijui Rais kasema hivi mara Rais hamsalimia nani,mara Rais kachapia yani hoja za udaku na umbea.

Tukija kwenye intelijensia upinzani always wana majibu mepesi katika maswala mazito kama kwanini wanashindwa chaguzi jibu lao always ni wameibiwa kura miaka nenda miaka rudi wanalalamikia kuibiwa je kama wanashindwa kulinda kura zao je watatuaminisha nini sisi wanamchi juu ya ulizi wa rasilimali zetu na ulinzi wa raia,Ukija kwenye suala la wimbi kubwa la watu kukimbia upinzani watakwambia wamenunuliwa jibu jepesi sana au watakwambia waache wahame bila kufatilia na kutafakari madai ya wanaohama je watatuaminisha vipi watanzania kuwachagua 2020 ili hali tunajua watatutia hasara zza chaguzi za marudio si bora kumchagua mnunuzi kuliko mnunuliwaji sawa na kumpelekea shida zako slave na kumuacha slave master.

Mwisho naomba kuwakumbusha kutengeneza mifumo ya kuandaa viongozi na sio kutegemea viongozi kutoka CCM tukumbuke nape aliwah kuwaambia CCM itashinda hata kwa goli la mkono wakahisi wataibiwa kura kumbe goli la mkono ni Edward Lowassa genius wa siasa ambaye baada ya kuchafuliwa akaenda kwa waliomchafua na kupokelewa na kada mtiifu wa CCM Mbowe bila kuwashirikisha kamati kuu wakazunguka nchi nzima kumsafisha baada ya kujiridhisha ametakata akaamua kurudi anapotakiwa kuwepo.
 
Kuwa kwenu huko CCM mnakuwa wajinga mpaka mnatia huruma . Wewe na CCM yako hiyo, kama wananchi wanawapenda na kuwakubali kiasa hicho !!! Mbona mizengwe kwenye kupata katiba mpya ya wananchi ?! Mbona haitaki tume huru ya uchaguzi ?!

Ni rahisi kutafuta makosa ya wapinzani ambao wamefika hapo walipo kwa juhudi zao, kuliko kujua tatizo la nchi yetu liko wapi. CCM bila vyombo vya Dola na vya maamuzi, wala si chama cha kusumbukia ni kitupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba Mpya na Tume Mpya kina Mbowe na Tundu Lissu waliikataa pale Ikulu kwenye chai ya JK
 
Habari wakuu,
Upinzani Tanzania una safari ndefu sana kujifunza jinsi ya kutengeneza taasisi imara za kisiasa sio vikundi vya kiuwana harakati,Siasa za upinzani ni zaidi ya kutukana serikali,siasa ni zaidi ya kuandamana, siasa za upinzani ni zaidi ya kutengeneza matukio ya kujipiga risasi na kufichana ili kupata huruma ya wananchi siasa ni tactical,strategies na intelijensia ya kujua adui anatumia mbinu zipi na wewe utumie mbinu zipi sio kukurupuka na matukio tuu bila kuwa na ajenda na sera zenye base ya maendeleo na kumgusa mtanzania mmoja mmoja na sio porojo porojo sijui Rais kasema hivi mara Rais hamsalimia nani,mara Rais kachapia yani hoja za udaku na umbea.
Tukija kwenye intelijensia upinzani always wana majibu mepesi katika maswala mazito kama kwanini wanashindwa chaguzi jibu lao always ni wameibiwa kura miaka nenda miaka rudi wanalalamikia kuibiwa je kama wanashindwa kulinda kura zao je watatuaminisha nini sisi wanamchi juu ya ulizi wa rasilimali zetu na ulinzi wa raia,Ukija kwenye swala la wimbi kubwa la watu kukimbia upinzani watakwambia wamenunuliwa jibu jepesi sana au watakwambia waache wahame bila kufatilia na kutafakari madai ya wanaohama je watatuaminisha vipi watanzania kuwachagua 2020 ili hali tunajua watatutia hasara zza chaguzi za marudio si bora kumchagua mnunuzi kuliko mnunuliwaji sawa na kumpelekea shida zako slave na kumuacha slave master.
Mwisho naomba kuwakumbusha kutengeneza mifumo ya kuandaa viongozi na sio kutegemea viongozi kutoka ccm tukumbuke nape aliwah kuwaambia ccm itashinda hata kwa goli la mkono wakahisi wataibiwa kura kumbe goli la mkono ni Edward Lowassa genius wa siasa ambaye baada ya kuchafuliwa akaenda kwa waliomchafua na kupokelewa na kada mtiifu wa ccm Mbowe bila kuwashirikisha kamati kuu wakazunguka nchi nzima kumsafisha baada ya kujiridhisha ametakata akaamua kurudi anapotakiwa kuwepo
Hoja?

Juzi kuna mwanasheria mmoja katika jukwaa la sheria kama sikosei (mtanirekebisha) alikuwa anamkosoa lay man mmoja wa sheria kwamba aache kuidhalilisha taaluma ya sheria kwa maana hakuwa anajua hata kufanya citation ya vifungu vya sheria.
Leo tena ninahisi wale wenye tasnia ya falsafa wanalo la kuzungumza juu ya andiko hili.
Mimi si mmoja kati ya wanafalsafa lakini nahisi tunahitaji ufafanuzi kutoka kwao.

There must be something smelling fishy right here!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,
Upinzani Tanzania una safari ndefu sana kujifunza jinsi ya kutengeneza taasisi imara za kisiasa sio vikundi vya kiuwana harakati,Siasa za upinzani ni zaidi ya kutukana serikali,siasa ni zaidi ya kuandamana, siasa za upinzani ni zaidi ya kutengeneza matukio ya kujipiga risasi na kufichana ili kupata huruma ya wananchi siasa ni tactical,strategies na intelijensia ya kujua adui anatumia mbinu zipi na wewe utumie mbinu zipi sio kukurupuka na matukio tuu bila kuwa na ajenda na sera zenye base ya maendeleo na kumgusa mtanzania mmoja mmoja na sio porojo porojo sijui Rais kasema hivi mara Rais hamsalimia nani,mara Rais kachapia yani hoja za udaku na umbea.
Tukija kwenye intelijensia upinzani always wana majibu mepesi katika maswala mazito kama kwanini wanashindwa chaguzi jibu lao always ni wameibiwa kura miaka nenda miaka rudi wanalalamikia kuibiwa je kama wanashindwa kulinda kura zao je watatuaminisha nini sisi wanamchi juu ya ulizi wa rasilimali zetu na ulinzi wa raia,Ukija kwenye swala la wimbi kubwa la watu kukimbia upinzani watakwambia wamenunuliwa jibu jepesi sana au watakwambia waache wahame bila kufatilia na kutafakari madai ya wanaohama je watatuaminisha vipi watanzania kuwachagua 2020 ili hali tunajua watatutia hasara zza chaguzi za marudio si bora kumchagua mnunuzi kuliko mnunuliwaji sawa na kumpelekea shida zako slave na kumuacha slave master.
Mwisho naomba kuwakumbusha kutengeneza mifumo ya kuandaa viongozi na sio kutegemea viongozi kutoka ccm tukumbuke nape aliwah kuwaambia ccm itashinda hata kwa goli la mkono wakahisi wataibiwa kura kumbe goli la mkono ni Edward Lowassa genius wa siasa ambaye baada ya kuchafuliwa akaenda kwa waliomchafua na kupokelewa na kada mtiifu wa ccm Mbowe bila kuwashirikisha kamati kuu wakazunguka nchi nzima kumsafisha baada ya kujiridhisha ametakata akaamua kurudi anapotakiwa kuwepo
Lowasa aliondoka kwa chuki alipokatwa. Hakwenda cdm kufanya inteligensia kama wengi wanavyofikiri. Karudi kwa vile alchotarajia kupata cdm huenda asipate. Tayari lissu katanganza kuwania uraisi. Kuliko kuaibika ameona bora ajiuzulu siasa. Huko alikorudi hatafurukuta amejimaliza so ni sawa nakujiuzulu siasa kiaina.
 
Hajajiuzuru siasa ila amerudi ccm al
Lowasa alienda CDM akasafishwe kuhusu ufisadi na kweli CDM wamefanya kazi nzuri ya kumsafisha amerudi ccm akiwa yupo safi na wala sio fisadi 2025 anagombea uraisi kupitia ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa kwenu huko CCM mnakuwa wajinga mpaka mnatia huruma . Wewe na CCM yako hiyo, kama wananchi wanawapenda na kuwakubali kiasa hicho !!! Mbona mizengwe kwenye kupata katiba mpya ya wananchi ?! Mbona haitaki tume huru ya uchaguzi ?!

Ni rahisi kutafuta makosa ya wapinzani ambao wamefika hapo walipo kwa juhudi zao, kuliko kujua tatizo la nchi yetu liko wapi. CCM bila vyombo vya Dola na vya maamuzi, wala si chama cha kusumbukia ni kitupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahalifu waliowengi hawapendi vyombo vya Ulinzi na usalama km walivyo CHADEMA.
 
Rubbish

Back
Top Bottom