Waliowahi tumia na kuifahamu simu ya lg

Waliowahi tumia na kuifahamu simu ya lg

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357
Pole na majukumu wakuu wote. Naomba mwenye kufahamu smart phone nzuri aina ya LG anisaidie nataka kununua moja. Ningependa kujua bei zake ,uimara, kukaa na chaji kwa model tofauti pia na upatikanaji wake kwa hapa Dar.
Natanguliza shukrani .
 
Ni nzuri sana. Mi jimeshatumia lg e 739 kwa muda mref. Iko poa sana. Ila charge inakaa kama hizi samsung galaxy tuu. Sema tuu bei zake za simu nzur ya lg zipo juu kama za sony experia. Tatizo jingine lg utakuta inauzwa lak3 ila memory ipo 4gb...
 
Back
Top Bottom