kuna kijiji kinaitwa maarifa! we ulizia tu wa daladalaKweli? Sehemu gani pale?
Kichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.Dalili zipi hizo mkuu hebu ziweke hapa tuzichambue.
Dalili za mashaytwani hizoKichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.
Nna hasira sometimes bila hata sababu.
Mapigo ya moyo yanaenda mbio Kama yanaendeshwa na Dereva wa Dar Lux vile.
Usiku sipati usingizi Hadi alfajiri na nikiota naota mazonge matupu. Kuna siku nikiota ndoto ya kichekesho saana yaani nakimbizwa na Simba nikakimbia then ghafla nikasikia Kuna kitu kinanigusa kisogoni nikajua Simba kanikaribia si nikachukua mikono yangu na kumkamata Simba nimvute nimtupe mbele.
Kumbe ni miguu yangu ndio ilikuwa inagusa kisogo Sasa nikajikita nimeivuta miguu yangu mwenyewe. Nikaamka nikaishia kucheka tu!
Kifua kinabana Kama Kuna mtu ananibana hivi. It's hell!
Yani mahovyo hovyo tu!
Mpangaji anakuchezea huyoKichwa kinauma saana upande mmoja bila kukoma na nilienda hospital kufanya medical examination lakini Daktari hakuna kitu.
Nna hasira sometimes bila hata sababu.
Mapigo ya moyo yanaenda mbio Kama yanaendeshwa na Dereva wa Dar Lux vile.
Usiku sipati usingizi Hadi alfajiri na nikiota naota mazonge matupu. Kuna siku nikiota ndoto ya kichekesho saana yaani nakimbizwa na Simba nikakimbia then ghafla nikasikia Kuna kitu kinanigusa kisogoni nikajua Simba kanikaribia si nikachukua mikono yangu na kumkamata Simba nimvute nimtupe mbele.
Kumbe ni miguu yangu ndio ilikuwa inagusa kisogo Sasa nikajikita nimeivuta miguu yangu mwenyewe. Nikaamka nikaishia kucheka tu!
Kifua kinabana Kama Kuna mtu ananibana hivi. It's hell!
Yani mahovyo hovyo tu!
Panaitwa Buma,kwa maarifakuna kijiji kinaitwa maarifa! we ulizia tu wa daladala
Mkuu ungeweka hapa namna ya msaada unaotaka kumpa utaponya wengi uyo Ni muwakilishi wa wengi.Njoo PM
Bagamoyo Kunasifika Sana hukoNenda bagamoyo
Mkuu ungeweka hapa namna ya msaada unaotaka kumpa utaponya wengi uyo Ni muwakilishi wa wengi.
Mbona kama husaidikiNiende kwa mchungaji Masanja Mkandamizaji.