Waliowahi kusoma Makongo high school

muoga wa jf

Senior Member
Jun 27, 2016
198
224
kama umebahatika kusoma shule ya sekondari MAKONGO kitu unakikumbuka na kipi unajivunia katika shule hiyo kwa kipindi chote ulichoku.

-respect makongo hihh school

ba8bf4c5ff0844229a411cd6041aa3f8.jpg
 
Ni Shule nzuri Na nakumbuka nidhamu enzi za Afande Miradi..Aiseeee!!!nidhamuuu kwenda Mbele...nakumbuka Afande sijui Ni kidhungu kumpiga Chenga tukiwa mstalini..kuna jambo alituchekeshaa Wakati tunacheka akajawa Na hasira..Sasa Ni siku ya kuongea kidhungu Na Ni siku Kipingu yupo...Atasemaje???akajikuta akasema ' Why are you laughing like Banana??Sasa sijui alimaanisha nini mana banana Ni ndizi zinachekaga??R.I P. Afande Miraji.
 
Back
Top Bottom