Waliowahi kupitia dharau, manyanyaso na kusengenywa kipindi wamepigika tukutane hapa

Simbamteme,
Ulionyesha dharau na dhihaka zaidi yake. Sio kila mwabanke ukimtongoza lazima akubali. Jipigepige kifua huku ukisema "mimi ni mjinga, sifai kuigwa"
 
Umeanza vizuri sana kueleza lakini huko mwishoni mzee umeharibu kila kitu nilikuwa nataka nichangie na mm lakini niameamua kukandia tu nilijua ni stori za kuinspaiana kumbe uhuni tu tu umeleta
 
Mimi sijui nina matatizo kama wanionavyo wengine!

Swala la kisasi kwangu wala huwa sina nalo muda kabisa au kumkomoa mtu. Ukinitendea vibaya, unidhalilishe, unitukane, ntakuangalia tu nakukalia kimya.
 
Ilitakiwa huyo demu umfyatue kwa nguvu Kama ugomvi mpaka asikuzoee Tena😂😂😂😂
Mazee huwezi kushindana na lile likitu.. utakuja kufa au kufanya ukatili kisa njaa za ngono,alisema rafiki yangu kutoka Nakuru,Kenya nilipomsimulia Manzi alovyozingua.
Stay Safe! Tunza Nguvu za Kiume.
 
Nimeshapitia dharau nyingi lakini sitakaa nisahau siku moja nimemsindikiza rafiki yangu (niko form two wakati huo) pale kwa duka la Benson (Arusha) kuulizia bei ya printer ambayo Mama yake rafiki alikuwa amemtuma. Unfortunetly tulipoingia baada ya kusalimia na kuulizia, jamaa hakutujibu akatufukuza, akasema tokeni. Alikuwa mhindi amevaa cheni halafu anasharubu......tulitoka na rafiki yangu nikasimama pale nje nikawa nawaza kwamba jamaa ametuona je? niliwaza sana siku hiyo....lile tukio limenikaa sana, sijajua nitalipiza je ile dharau aliyo nionyesha siku ile lakini ntailipiza hata kama yeye mwenyewe hatakuwepo
 
Uzi Wa visasi........
Mwanamke hakomeshwi hata kawe kabinti kadogo mwendo ni ule ule!!!
 
Back
Top Bottom