Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,191
- 138,533
na hii ndo uthibitisho wa demokrasia na uhuru wa kutofautiana mawazo?
sasa tofauti yake na wacommunist wa China iko wapi?
Ukiangalia wote waliofukuzwa ni wale waliokuwa na akili pana hata waliosimamishwa wote wanawazidi viongozi wa makao makuu upea wanaona wawafukuze ili waongoze milele.
Ili mwanachama wa Chadema afukuzwe chamani, huwa anakuwa kakiuka mambo yapi yasiyoonyeka?
Kwa upande wangu mimi binafsi naungana na uongozi wa Chadema kufukuza wale ambao niwasaliti,kwa mfano mtu anasema tatizo ni uenyekiti mimi napinga mtu kama anaona katiba inakiukwa sio kukimbilia kwenye media maana kuna taratibu zake,wakifukuzwa wanaleta maneno yasio natija,Chadema muda umekwisha anzeni kuzunguka nchi nzima.* Dk Aman Walid Kaburu/ alifukuzwa
* Chama wangwe/ alisimamishwa uongozi mkamu/mwenyekiti Taifa
*Estomih Mallah, diwani (Arusha) Alifukuzwa
*John Bayo, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Reuben Ngowi, diwani (Arusha) alifukuzwa
*charles Mpanda, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Rehema Mohammed, diwani (Arusha) alifukuzwa
*Habiba Ally diwani (Mara) alifukuzwa
*Miriam Daudi, diwani (Mara) alifukuzwa
*Amani Mwipaja mwanasheria morogoro alifukuzwa
*David Kafulila kiongozi makao makuu, alifukuzwa
*Josephu kasamba, mwenyekiti BAVICHA Mbeya alifukuzwa
*Cosmas Sanga katibu bavicha mbeya alifukuzwa
*Allam Mwapamba, Baba mzazi wa Mtela mwapamba, alifukuzwa
*Mtela Mwapamba kiongozi BAVICHA, ALIFUKUZWA
*Julliana Shonza kiongozi Bavicha alifukuzwa
*Zitto Kabwe Zuber amesimanishwa
*Dk Kitila Mkumbo amesimamishwa,
*Samsoni Mwigamba, amesimamishwa.
HAWA WOOTE NA WENGINEO WALIFANYA MAKOSA NA KUFUKUZWA AMA KUSIMAMISHWA, SASA HAO WANAOLETA MAMBO YA UDINI NA UKABILA WATUAMBIE, JE HAWA WALIOFUKUZWA AMA KUSIMAMISWA NI WA DINI ZIPI! Je kuna uonevu, MIMI naona kuna uwajibikaji, na huu ni mfano mzuri kwa chama kinachotaka kuingia madarakani, kila kila anaefanya kosa ATAADHIBIWA BILA KUJALI YEYE NI NANI KWENYE CHAMA, NAWAPONGEZA SANA CHADEMA KWA UWAJIBIKAJI WENU, NAAMINI MTAKAPOONGOZA DOLA MTALETA UWAJIBIKAJI WENYE TIJA KATIKA TAIFA
MUNGU IBARIKI CHADEMA.
Ni kweli mkuu nimejaribu kucheki wote wanaofukuzwa ni wale wanaodai haki ya kidemokrasia lakini wale fuata upepo hata wakipiga matofari watu hawaguswi chama gani hiki jamani.Hiki chama kinaongozwa na wahafidhina Ayatolla Mtei, mbowe na slaa unategemea nini.
By the way Zitto hafukuziki
Mkuu, Zitto amesema kuwa haondoki. Tuone jeuri ya Mbowe na ukoo wake kama wana ubavu wa kumfukuzaHiki chama kinaongozwa na wahafidhina Ayatolla Mtei, mbowe na slaa unategemea nini.
By the way Zitto hafukuziki
Sure mkuu wengi sana wamepata shida na wengine mauti yamewapata huyu mbowe moto wa mbinguni ataukuta.Tangu Mbowe awe mwenyekiti wa CHADEMA, wengi wamepata mateso ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kutokana na kudai demokrasia ndani ya chama.
Tukumbushe walikuwa wanadai nini kama upo sawa kwenye tafiti zako.Hata Horace Kolimba, Himid Mansour na Aboud Jumbe nao pia walikuwa wana Democrasia je CCM imewafanyeje? na ni kitu gani kilimuondoa Shibuda CCM?
Mkuu, ahibuda hajaondoka ccm bali alienda chadema kutafuta nafasi ya kuwa mbunge baada ya chama chake kutompitisha. Hata Mbowe analijua hilo, 2015 anarudi nyumbaniHata Horace Kolimba, Himid Mansour na Aboud Jumbe nao pia walikuwa wana Democrasia je CCM imewafanyeje? na ni kitu gani kilimuondoa Shibuda CCM?
Mkuu, kutokana na ukihiyo wa Mbowe, harumii akili hata kidogo na ana matatizo makubwa ya kukosa busara. Yeye anadhani marumizi ya nguvu ndo yanajenga chama kumbe ndo yanabomoa. Huyu ni kiongozi wa kwanza karika historia ya vyama vingi nchini kuongoza chama akiwa na kiwango kidogo sana au hana kabisa elimu. Pia huyu ni kiongozi wa kwanza kufukuza waru wengiNi kweli mkuu nimejaribu kucheki wote wanaofukuzwa ni wale wanaodai haki ya kidemokrasia lakini wale fuata upepo hata wakipiga matofari watu hawaguswi chama gani hiki jamani.
Uzuri ni kwamba ameshavuliwa Vyeo vyote.Sasa hivi hana tofauti na Shibuda.Hataelewa tena mikakati ya CDM iliyokuwa ikimuweka mjini kwa kupiga dili.Mkuu, Zitto amesema kuwa haondoki. Tuone jeuri ya Mbowe na ukoo wake kama wana ubavu wa kumfukuza
Dhambi ya ubaguzi haitakuacha ukiwa salama. Wote wakifukuzwa mwisho wa siku utafukuzwa wewe kwa kosa dogo sana. Pia kama umeamua kuwatumikia akina Mbowe na Slaa, weka mbali mke wako au usioe kabisaMAGAMBA Mtahangaika sana kuwatetea wasaliti ambao mnawatuma kuvuruga CHADEMA lakini tutaendelea kuwanasa na kuwaadabisha. WASALITI WOTE TUPA KULE.
Kwani hivyo vyeo tangu amepata aliwahi kuvitumikia?Uzuri ni kwamba ameshavuliwa Vyeo vyote.Sasa hivi hana tofauti na Shibuda.Hataelewa tena mikakati ya CDM iliyokuwa ikimuweka mjini kwa kupiga dili.