Apo inategemeana na sheria za chuo.,,ila kwa chuo nlichosoma mimi hyo ni discontinue automaticallynaomba kuuliza, kama mtu ana sup na hajafanya mtihani wa sup itakuaje.?
naomba kuuliza, kama mtu ana sup na hajafanya mtihani wa sup itakuaje.?
naomba kuuliza, kama mtu ana sup na hajafanya mtihani wa sup itakuaje.?
Hiyo disco mzee...labda lama ulikuwa na sababu ya kutokufanya mtihani!!
Jamani naomba kufahamu kwa wajuzi, waliowahi kudisco chuo halafu wakaja kuomba chuo kingine baada ya miaka mi3 kupita then wakalipa 25% wanayodaiwa, halafu wakaomba tena mkopo je huwa wanapata? kwa mwny experience tafadhari?