Waliouziwa mashamba Mkuranga wametapeliwa

hao walionunua mashamba mkuranga ni kweli wametapeliwa halafu wengine ni kweli wamefanikiwa kwa sababu kisheria kijiji ni mamlaka ya kugawa na kusimamia ardhi yote ya kijiji, lakini serikali ya kijiji haiwezi kugawa ardhi bila mkutano mkuu wa kijiji kwani hiyo ni kinyume na sheria ya ardhi ya vijiji rejea fungu la 8.
vilevile wale ambao hizo ardhi wamenunua kwa watu binafsi ardhi hizo ni halali japo wanahitajika kutambuliwa na kijiji kabla ya mauziano ili kijiji kiwatambue, kwani wanaweza kuuziwa mashamba ya wanavijiji wengine, hivyo ardhi yote ya kijiji huwezi kukwepa kukishirikisha kijiji. ila halmashauri ya wilaya ya mkuranga haiwezi kuzuia mauziano ya ardhi ekari 30, 40 kwani serikali hiyo imewahi kumwandikia barua kamishna ili apunguze kiasi cha ardhi ambacho kijiji hicho kinaweza kutoa? more advice on land matters write kwanzamen@yahoo.com
 
Back
Top Bottom