Kwanza CCM siyo mtu hivyo huwezi kumlaumu kwa chochote, na hata kama ukianzisha Vita dhidi ya CCM hata hujui adui yako ni nani kwani haina mwenyewe!
CCM huwezi kuuita Dikteta, kwani siyo mtu, huwezi kusema umeichoka kwani miaka 5-10 wanabadili timu nzima, utamchukia Magufuli lkn baada ya miaka 7 ijayo hayupo tena anakuja mwingine!
Waliounda CCM ni magenius aisee duh!