Jibu swali mkuu acha mahubiri.Atheists na Satanist watakupoteza ndugu
Chagua kuviamini vitabu vya dini yako
Mmeanza tena kusumbua mizimu!
kukuzuia usisonge mbele kimaendeleo na kiroho,
kukusahaulisha history yako ya kiroho na kimwil,
kukutenganisha na Muumba wako wa kweli kwa kukupa uabudu miungu ya kigeniWanamuita LilithMmeanza tena kusumbua mizimu!
Inasemekana kulikuwa na mwanamke mwengine kabla ya hawa alipozingua ndo mzee baba akaamua achomoe mbavu ya msela Adam Sasa ikaletwa pisi eva! Au hawa nadhani unajua kilichofuata..
acha ujinga ni bora uwe mtu asie amini dini kulko wew unaeamini kitu usichokijua, wasomi tupo tunaojuwa kiundani kuhusu dini tena tunajuwa zaid ya wajuavyo viongoz wako wa dini..dini si nzur na haitowai kuwa nzuri..fuatilia ukweli nje ya box utajuwa nini namaanisha.Atheists na Satanist watakupoteza ndugu
Chagua kuviamini vitabu vya dini yako
Awe lilithi alikuwa chombo hatari toto lilikuwa likibiringita ya kwatukwatu mpk anko shetani akaona isiwe tabu akambeba! Katika pisi zilizotokea duniani Lilith ilikuwa ni pisi unaweza honga hata jua na sayari zake!Wanamuita Lilith
Ni story ya kutunga kupotosha maandiko.
Awe lilithi alikuwa chombo hatari toto lilikuwa likibiringita ya kwatukwatu mpk anko shetani akaona isiwe tabu akambeba! Katika pisi zilizotokea duniani Lilith ilikuwa ni pisi unaweza honga hata jua na sayari zake!
unamanisha watoto wa insta & watsap era wakasome?Mkuu hata maneno hayatoshi kuelezea pisi ile! Hivi unajua ilikuwa Toto Toto kweli nikisema jicho jicho kweli!,usianze kuchanganya maji na oil ya pikipiki ndugu hebu sahau kuhusu akina insta fikiria kuhusu Eden na mambo ya mbingumbingu ile pisi ilikuwa inatetemesha hadi malaika.unamanisha watoto wa insta & watsap era wakasome?
Hakuna wewe. Adam na Hewa ndio babu zako.
Abel aliuliwa na ndugu yake kainiWatoto wa adam na hawa kaini na abeli wake zao waliwapata wapi?
Dah! Inawezekana make nasisi waafrika tunaasili yetu lakn mbona mtu akiwa na mapepo tunaomba kupitia hizi dini tulizoletewa Na yanapiga kelele mpaka yanakosa Amani na kutii amri kwa jina la yesu na yanaondoka? Hapo imekaaje mkuuadam na hawa hawajawai kuwepo izo ni stori za wahuni waliokwapua kumbukumbu za mababu za watu weusi na kuunda ujinga uitwao vitabu vitakatifu ili kukipa sifa kizaz cha wale wazawa wa shetan yaan watu weupe.
mtu wa kwanza dunian aliishi afrika na aliumbwa na nguvu za asili ambazo ni zaid ya uungu wa izo dini zilizokuja na meli..
mtu huyo aliumbwa kutoka ktk udongo mweusi na kufanya sanamu la mtu, na baada ya kutiwa nguvu za uhai sanamu ilo likageuka kuwa mtu yaan kwa lugha za asili Muntu/Moto/Umuntu na huyu ndye huyo wanamuita adamu baada ya kuharibu uhalisia na kumfanya awe mweupe.
mtu huyu ndye chanzo cha uhai wa watu na wanadamu, naposema watu namaanisha weusi wote, na wanadamu ni hao weupe wote ambao hawakuumbwa kwa kusudi la kuish dunian bal walkuja baada ya anguko la mtu mweusi kuzaa na malaika wahasi ndpo likaibuka kundi la watoto machotara(wanefil)
hawa weupe ndyo chanzo cha uovu hapa dunian tangu zama zile mpaka sasa, na uadui wa mtu mweusi ulianza kipindi icho baina ya wanadamu weupe,
wanadamu wanawakilishwa kama uzao wa nyoka na watu weusi wanawakilishwa kama mwanamke ktk maandiko ya mababu wa zamani na hata biblia za kikoloni zmejarbu kuficha ili jambo kwa kupindisha maneno kuwa kutakuwa na uadui kati ya nyoka na wana wa mwanamke ambapo nyoka atamuuma mguu na mwana atamponda kichwa,
kiuhalisia mtu mweusi ndye uzao wa yule mwanamke yaan mke wa adam original, na nyoka anasimama kama uzao wa wanadamu weupe wanaongata miguu ya watu weusi,
kungata miguu maana yake
kukuzuia usisonge mbele kimaendeleo na kiroho,
kukusahaulisha history yako ya kiroho na kimwil,
kukutenganisha na Muumba wako wa kweli kwa kukupa uabudu miungu ya kigeni
kwaiyo bas unavyosikia hadithi za mitume nawahusika wa vitabu vya dini ujue kuwa wanazungumziwa babu na bibi zako ambao wamebadirishiwa majina na kupewa uhusika wa mtu mweupe ili kukupoteza kiboya.
ukweli mchungu
Mkuu unajibu swali langu au unajibu swali la mtoa mada?mkuu badilisha mwandiko kwanza. Tulia andika vizuri baada ya hapo uje na swali lako.
My Answer: Hakuna binadamu aliyewahi kuwako kabla ya Adam na Eva.
Hizo habari za Adam na Eva ni story za kwenye kahawa, hakuna mwanzo wala mwisho wa dunia, utapita na hizo story utaziacha…Naipenda kuuliza me kabla ya kuwepo Adamu na Eva hapa duniani, je kulukuwepo na binadamu wengine kabla ya wao?
Mkuu,naomba reference nikasome zaidi tafadhaliadam na hawa hawajawai kuwepo izo ni stori za wahuni waliokwapua kumbukumbu za mababu za watu weusi na kuunda ujinga uitwao vitabu vitakatifu ili kukipa sifa kizaz cha wale wazawa wa shetan yaan watu weupe.