Sins uhakika sana na hicho unachosema kuwa ni matajiri kwa hiyo siwezi kubisha lkn kama ulishawahi Fanya kazi ktk ofisi za umma, mzee kuna majungu kibao.Sawa lakini ukifuatilia wote waliopigwa chini wamehusika kwa ubadhilifu, kwanza wote ni matajiri wa kupindukia hizo hela wametoa wapi mzee.
Kwa hiyo kwa sbb ni maamuzi yako kuoa na kuzaa watoto una uwezo wa kuwafanya vile unataka hata kuwafukuza na kuwaua?
Hivi si magu ndo alisema asijaribiwe?
Hakuna rais ambaye yuko tayari kuwa shaked na mtu ambaye either yuko serikali ama hayupo serikali...
Kama wanajua wana siri nzito wangezitoa tuu...kama wanaogopa kuziweka public wazilete humu jukwaani ..sisi tutazifikisha kwa mkuu..
Lakini pia, kusema wazi wazi kuwa wana siri..ni kuhatarisha usalama wao...its too danger for them.. bora wangezisema tuu in inderict way..manake wana possibility kubwa ya kuwa eliminated.
Usiri ni tamaduni ya nchi yoyote! Kuna vitu vya nchi huwezi kuvianika peupe..hata kama vina uonevu kwa watu flani...iko hivyo its ment to be it for
Nation sustainability.
Na mara nyingi huwa "wewe ndo utaondolewa kabla hujatoa siri""
Uzuri wanaendelea kulamba salary ile ile!Vyeo vya kuteuliwa unaendaje kupinga, ni maamuzi ya aliyekuteua kuamua kufanya kazi na ww au la
View attachment 454059
Wasema wataiburuza serikali makamani.
Wadai serikali inawaonea na wapo na siri nzito na wako tayari kuzitoa mahakamani.
Uzuri wanaendelea kulamba salary ile ile!
Wakati mwingine yanafanyika mambo ili kudraw attention za kisiasa. Kwa wateule, haina maana sana. Lakini chukulia issue kama ya wale watumishi wa Bukoba waliosimamishwa, unaangalia sababu zinazotolewa hadi unaona aibu. Katika mazingira kama yale, tuhuma zinatolewa na kamera,yaani sifa za kiuongoz ukienda na kamera ukahisi tu watumishi wamekosea au hujarudhika basi unawasimamisha. Kwa mfano uliotolewa kuwa ukarabati uko chini ya kiwango au thaman ya hela,kwa utaalam gani au hisia tu? Kama wakikutwa hawana hatia kwa mfano,zitaitwa tena kamera kuwasafusha? Aina hii ya uongozi na utawala ni ya ajabu mno.View attachment 454059
Wasema wataiburuza serikali makamani.
Wadai serikali inawaonea na wapo na siri nzito na wako tayari kuzitoa mahakamani.
Who careKuna magazeti huwa siyasomi kabisa... Uhuru, Mzalendo, Tz Daima, Mwanahalisi, Jamhuri na yale ya Shigongo
Nadhani washanielewa mkuuWaambie mburula wanaoshangilia ujinga waelewe!!