Waliotakiwa kumrithi Mukandala hawa hapa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
PROFESA David Mfinanga, Prof. Allen Mushi na Prof. Bernadeta Kilian watalazimika kusubiri kwa mwaka mmoja zaidi ili kujua iwapo watavivaa viatu vya Prof. Rwekaza Mukandala katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au la.

Maprofesa hao watatu ndiyo waliopitishwa katika mchujo wa kurithi nafasi ya Prof. Mukandala kabla ya Dk. Jakaya Kikwete ambaye ni Mkuu wa UDSM kwa kushauriana na Rais John Magufuli kuamua kumuongezea Prof. Mukandala mkataba wa mwaka mmoja zaidi wa kutumikia nafasi hiyo mpaka tarehe 5 Desemba 2017.

“Mchujo ulianza mapema mwaka jana kabla hata serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi chake hata hivyo, tuliukamilisha mwaka huu na majina matatu ndiyo yalipitishwa katika hatua ya mwisho ambapo Mkuu wa Chuo (Dk. Kikwete) alikabidhiwa ili kumpelekea rais Magufuli,” kimeeleza chanzo cha kuaminika kutoka menejimenti ya chuo hicho.

MwanaHALISI Online imebaini kuwa kulikuwa na makundi makubwa mawili, yakiwapigia chapuo zaidi Prof. Mfinanga na Prof. Mushi katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho huku Prof. Kiliani akipigiwa chapuo na kundi lililoonekana kuwa la ‘wapenda usawa wa kijinsia.’

Prof. Mfinanga ambaye kwa sasa ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo – Utawala, ndiye alikuwa akipewa nafasi kubwa zaidi kutokana na wasifu wake ‘kumbeba’, huku wakosoaji wake wakitaja “uvumilivu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia zaidi” kama sifa inayomuweka rehani katika kurithi nafasi hiyo.

Ingawa mmoja kati ya wahadhiri chuoni hapo aliyekuwa akimpigia chapuo Prof. Mfinanga amesema, “Si mkali sana kama wengi wanavyosema ila hapendi mambo yakwame bila sababu. na huyu ndiye mtu anayehitajika.”

Ni sifa hiyo ya ‘ukali’ ndiyo ilichokuwa ikifanya baadhi kumpigia chapuo Prof. Mushi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali chuoni hapo – akitajwa kama “mtulivu, msikilizaji mzuri na muumini wa maridhiano.”

Ingawa imeelezwa kuwa, “Prof. Mushi anadhaniwa kuwa mpole kwasababu nafasi yake si ya kiutawala zaidi.”

Prof. Bernadeta Kiliian ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), nafasi yake ilionekana kubebwa zaidi na uzoefu pamoja na shauku ya kuona usawa wa kijinsia katika nafasi za juu chuoni hapo.

Amewahi kushika nafasi mbalimbali chuoni hapo ikiwemo kuwa Mkuu wa Shule Kuu ya Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) na kwa kipindi kirefu amekuwa Mhadhiri katika Shule ya Elimu (SoED) iliyopo chuoni hapo.

Ni mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia, akiwa kielelezo cha wanawake kuweza kusoma mpaka katika ngazi ya juu na kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Chanzo: Mwanahalisi Online
 
Jamaa anavyo chukia watu wa ukanda ule pamoja na hao kupita kwenye mchujo anaweza akakataa hayo majina ila kama ni kupiga kura yangu ingeenda kwa Prof Mushi
 
Binafsi nawafahamu prof mfinanga na prof. Mushi, ambae ni director wa undergraduate studies kwa sasa. Kama ingekua ni kupiga kura nna uhakika prof Mushi angeshinda tena kwa tofauti kubwa tu
 
Weka CV zao
 
Prof mushi,huyu mzee sitokaa nimsahau,aliwahi kuniokoa hapo udsm,nilipata majanga flani ambayo technically ilikua nipigwe disco coz nilichanganya ratiba nikamiss paper moja,lakini huyu mzee alinisimamia kama baba akanisaidia ile ishu tukaisolve ikaisha...
 
Binafsi nawafahamu prof mfinanga na prof. Mushi, ambae ni director wa undergraduate studies kwa sasa. Kama ingekua ni kupiga kura nna uhakika prof Mushi angeshinda tena kwa tofauti kubwa tu
mfinanga ni matatizo makubwa na akipewa chuo naona kazi hazitaenda kabisa
 
PROFESA David Mfinanga, Prof. Allen Mushi na Prof. Bernadeta Kilian watalazimika kusubiri kwa mwaka mmoja zaidi ili kujua iwapo watavivaa viatu vya Prof. Rwekaza Mukandala katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au la.

Maprofesa hao watatu ndiyo waliopitishwa katika mchujo wa kurithi nafasi ya Prof. Mukandala kabla ya Dk. Jakaya Kikwete ambaye ni Mkuu wa UDSM kwa kushauriana na Rais John Magufuli kuamua kumuongezea Prof. Mukandala mkataba wa mwaka mmoja zaidi wa kutumikia nafasi hiyo mpaka tarehe 5 Desemba 2017.

“Mchujo ulianza mapema mwaka jana kabla hata serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi chake hata hivyo, tuliukamilisha mwaka huu na majina matatu ndiyo yalipitishwa katika hatua ya mwisho ambapo Mkuu wa Chuo (Dk. Kikwete) alikabidhiwa ili kumpelekea rais Magufuli,” kimeeleza chanzo cha kuaminika kutoka menejimenti ya chuo hicho.

MwanaHALISI Online imebaini kuwa kulikuwa na makundi makubwa mawili, yakiwapigia chapuo zaidi Prof. Mfinanga na Prof. Mushi katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho huku Prof. Kiliani akipigiwa chapuo na kundi lililoonekana kuwa la ‘wapenda usawa wa kijinsia.’

Prof. Mfinanga ambaye kwa sasa ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo – Utawala, ndiye alikuwa akipewa nafasi kubwa zaidi kutokana na wasifu wake ‘kumbeba’, huku wakosoaji wake wakitaja “uvumilivu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia zaidi” kama sifa inayomuweka rehani katika kurithi nafasi hiyo.

Ingawa mmoja kati ya wahadhiri chuoni hapo aliyekuwa akimpigia chapuo Prof. Mfinanga amesema, “Si mkali sana kama wengi wanavyosema ila hapendi mambo yakwame bila sababu. na huyu ndiye mtu anayehitajika.”

Ni sifa hiyo ya ‘ukali’ ndiyo ilichokuwa ikifanya baadhi kumpigia chapuo Prof. Mushi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali chuoni hapo – akitajwa kama “mtulivu, msikilizaji mzuri na muumini wa maridhiano.”

Ingawa imeelezwa kuwa, “Prof. Mushi anadhaniwa kuwa mpole kwasababu nafasi yake si ya kiutawala zaidi.”

Prof. Bernadeta Kiliian ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), nafasi yake ilionekana kubebwa zaidi na uzoefu pamoja na shauku ya kuona usawa wa kijinsia katika nafasi za juu chuoni hapo.

Amewahi kushika nafasi mbalimbali chuoni hapo ikiwemo kuwa Mkuu wa Shule Kuu ya Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) na kwa kipindi kirefu amekuwa Mhadhiri katika Shule ya Elimu (SoED) iliyopo chuoni hapo.

Ni mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia, akiwa kielelezo cha wanawake kuweza kusoma mpaka katika ngazi ya juu na kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
PROFESA David Mfinanga, Prof. Allen Mushi na Prof. Bernadeta Kilian watalazimika kusubiri kwa mwaka mmoja zaidi ili kujua iwapo watavivaa viatu vya Prof. Rwekaza Mukandala katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au la.

Maprofesa hao watatu ndiyo waliopitishwa katika mchujo wa kurithi nafasi ya Prof. Mukandala kabla ya Dk. Jakaya Kikwete ambaye ni Mkuu wa UDSM kwa kushauriana na Rais John Magufuli kuamua kumuongezea Prof. Mukandala mkataba wa mwaka mmoja zaidi wa kutumikia nafasi hiyo mpaka tarehe 5 Desemba 2017.

“Mchujo ulianza mapema mwaka jana kabla hata serikali ya awamu ya nne kumaliza kipindi chake hata hivyo, tuliukamilisha mwaka huu na majina matatu ndiyo yalipitishwa katika hatua ya mwisho ambapo Mkuu wa Chuo (Dk. Kikwete) alikabidhiwa ili kumpelekea rais Magufuli,” kimeeleza chanzo cha kuaminika kutoka menejimenti ya chuo hicho.

MwanaHALISI Online imebaini kuwa kulikuwa na makundi makubwa mawili, yakiwapigia chapuo zaidi Prof. Mfinanga na Prof. Mushi katika nafasi ya Makamu Mkuu wa Chuo hicho huku Prof. Kiliani akipigiwa chapuo na kundi lililoonekana kuwa la ‘wapenda usawa wa kijinsia.’

Prof. Mfinanga ambaye kwa sasa ni Naibu Makamu Mkuu wa chuo – Utawala, ndiye alikuwa akipewa nafasi kubwa zaidi kutokana na wasifu wake ‘kumbeba’, huku wakosoaji wake wakitaja “uvumilivu na utatuzi wa migogoro kwa njia ya kidiplomasia zaidi” kama sifa inayomuweka rehani katika kurithi nafasi hiyo.

Ingawa mmoja kati ya wahadhiri chuoni hapo aliyekuwa akimpigia chapuo Prof. Mfinanga amesema, “Si mkali sana kama wengi wanavyosema ila hapendi mambo yakwame bila sababu. na huyu ndiye mtu anayehitajika.”

Ni sifa hiyo ya ‘ukali’ ndiyo ilichokuwa ikifanya baadhi kumpigia chapuo Prof. Mushi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shahada za Awali chuoni hapo – akitajwa kama “mtulivu, msikilizaji mzuri na muumini wa maridhiano.”

Ingawa imeelezwa kuwa, “Prof. Mushi anadhaniwa kuwa mpole kwasababu nafasi yake si ya kiutawala zaidi.”

Prof. Bernadeta Kiliian ambaye kwa sasa ndiye Mkuu wa Chuo Kikuu kishiriki cha Elimu cha Mkwawa (MUCE), nafasi yake ilionekana kubebwa zaidi na uzoefu pamoja na shauku ya kuona usawa wa kijinsia katika nafasi za juu chuoni hapo.

Amewahi kushika nafasi mbalimbali chuoni hapo ikiwemo kuwa Mkuu wa Shule Kuu ya Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) na kwa kipindi kirefu amekuwa Mhadhiri katika Shule ya Elimu (SoED) iliyopo chuoni hapo.

Ni mwanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia, akiwa kielelezo cha wanawake kuweza kusoma mpaka katika ngazi ya juu na kushika nafasi mbalimbali za uongozi.

Nimeipenda nukuu yako hapo mwisho. Hivyo nianze kwa kusema kuwa sina nia ya kukupangia cha kuandika bali napenda kukuelewesha kuwa unapoandika uongo kisa tu hupangiwi basi unavunja haki ya mwingine maana haki yako inaanzia pale ya mwenzio inapoinaishia na inaishia pale ya mwenzio inapoanzia. Mfano sifa ulizotaja sidhani na siamini kama ni mojawapo ya sifa za mtu kuwa kiongozi hasa wa chuo kikubwa kama chuo kikuu cha dar es salaam. La pili ni ulichosema kuwa Prof. Killian kwa kipindi kirefu amekua mhadhiri katika shule ya Elimu (SoED) kitu ambacho nadhani aidha umekosea au umefanya kusudi ili tu kutimiza nia yako ya kutopangiwa cha kuandika. Ukweli ni kwamba huyu mama ni mtaalam wa siasa na utawala (Political Science and Public Administration) na ni Profesa katika Ndaki (College) of Social Sciences (CoSS) na asilani hajawahi hata kufundisha huko SoED. Pia siyo mwanaharakati wa maswala ya jinsia kama ulivyoisema is a liberal Profesa.
 
Ndio iliyowaogopesha mapaka kuahirisha?
Hahaaa nadhani kuna umuhimu wa kutambua namna upatikanaji wa viongozi wa vyuo vikuu hasa UDSM ulivyo kabla ya kuleta mambo ya ukabila humu
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom