Panda II
Senior Member
- May 25, 2017
- 173
- 319
Ndugu zangu kwanza niwape pole kwa mapambano haya ya ajira kwa kipindi kirefu bila matumaini. Ni wazi kuwa tunakoelekea ni kugumu zaidi kwa sababu competition imekuwa kubwa, graduates wanatemwa kila mwaka na watu wanapunguzwa makazini kila siku.
Kuna watu wataongelea kujiajiri lakinini msisahau kuwa bado kuna idadi kubwa ya watu wenye background mbaya kifedha na hivyo kukosa fursa, mitaji ama connection ya kuweza kujiajiri.
Kuna wengine wameanzisha familia, wameoa, na wengine wana watoto kabla ya ndoa na wamekumbwa na changamoto za kuhudumia familia zao.
Kwa upande wangu nashauri tujikite katika kujifunza skills tofauti, na kuto kuchagua kazi kwa kuvua status ya BACHELOR au MASTERS na kukomaa kwa namna yoyote ile huko mbele mambo yatajipa tu.
Nawatakia kila la kheri katika mapambano ya vita hii kali dhidi ya maisha