Waliosoma Weruweru watamba kutoa rais wa kwanza nchini

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,685
Dar es Salaam. Waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Weruweru wametamba kuwa wanaamini rais wa kwanza mwanamke nchini anaweza kutoka miongoni wao, kutokana na kiwango cha elimu bora inayotolewa katika shule hiyo.

Hayo ameyabainisha jana Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi waliosoma katika sekondani hiyo, Balozi Mwanaidi Maajar akijibu maswali ya waandishi alipokuwa akizungumzia kuhusu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Sekondari ya Weruweru ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

"Weruweru ilijizolea umaarufu kutokana na kutoa elimu bora kwa wasichana ambao wameweza kuendelea hadi kufikia kuwa viongozi, kama Dk Asharose Migiro ambaye alikuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, tunaamini itakuwa ya kwanza pia kutoa rais mwanamke kwa sababu elimu tuliyoipata inatupa nafasi ya kuweza kufanya lolote," alisema.

Alifafanua kuwa kuna wanawake wengine waliosoma kwenye sekondari hiyo ambao ni viongozi katika nyanja za wafanyabiashara,madaktari, wanasiasa wanadiplomasia, waandishi, walimu, wahadhiri na wajasiliamali. Alisema wanalenga kukusanya Sh500 milioni katika maadhimisho hayo ya miaka 50.

Chanzo: Mwananchi
 
But why do you presume that women cannot lead? What is so special, which has/have been done by men and you are convinced that women can not do?
Basing on the current trends and quality of leadership in Tanzania, I am of the opinion that women can do better than most of men politicians.
The question is weather, some of us, men, can swallow our pride.
I can do so.

They are just daydreaming. Women have no place in high-level politics in this country. They should be satisfied with the positions they get in the cabinet and other government organizations. But leading the country? No, let's continue to leave that responsibility in the hands of males.
 
Buy why do you presume that women cannot lead? What is so special, which has/have. been done by men and you are convinced that women can not do?
Basing on the current trends and quality of leadership in Tanzania, I am of the opinion that women can do better than most of men politicians.
The question is weather, some of us, men, can swallow our pride.
I can do so.

What has Tanzania learnt from having a first woman Speaker?
 
Balozi Maajar namkubali sana ni kiongozi mzuri, lakini Asha Migiro hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Dr. Migiro ni product ya CCM, kama Getrude Mongera na Ann Makinda ambao wote ni majanga
 
Wanavyomsifia hayo migiro kwamba eti alikuwa katibu mkuu wa kwanza mwanamke wa UN utafikiri amefanya vitu vya maana akiwa kule,alishindwa kabisa kuongoza kwa ufanisi katika nafasi yake ile alafu anabaki kusifiwa.
 
Dar es Salaam. Waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Weruweru wametamba kuwa wanaamini rais wa kwanza mwanamke nchini anaweza kutoka miongoni wao, kutokana na kiwango cha elimu bora inayotolewa katika shule hiyo.

Hayo ameyabainisha jana Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi waliosoma katika sekondani hiyo, Balozi Mwanaidi Maajar akijibu maswali ya waandishi alipokuwa akizungumzia kuhusu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Sekondari ya Weruweru ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

"Weruweru ilijizolea umaarufu kutokana na kutoa elimu bora kwa wasichana ambao wameweza kuendelea hadi kufikia kuwa viongozi, kama Dk Asharose Migiro ambaye alikuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, tunaamini itakuwa ya kwanza pia kutoa rais mwanamke kwa sababu elimu tuliyoipata inatupa nafasi ya kuweza kufanya lolote," alisema.

Alifafanua kuwa kuna wanawake wengine waliosoma kwenye sekondari hiyo ambao ni viongozi katika nyanja za wafanyabiashara,madaktari, wanasiasa wanadiplomasia, waandishi, walimu, wahadhiri na wajasiliamali. Alisema wanalenga kukusanya Sh500 milioni katika maadhimisho hayo ya miaka 50.

Chanzo: Mwananchi
kbm unazungumzia umoja wa mataifa au umoja wa koo?
 
Last edited by a moderator:
Wakamuliza makinda tundu lissu ni nani hafu ndo waanze kuota ndoto zao za mchana. Kama jk ameshindwa pamoja na umaarufu wake
 
What has Tanzania learnt from having a first woman Speaker?

It was a bad choice! A political motivated.

A mistake and we should not generalise.

We have as well, Ministerial posts held by men who are useless.
 
JK ameufanya u-rais uonekane ni sawasawa na shughuli zingine... Hadi kichaa anaweza kuamini kuwa anaweza kuwa rais...
 
I can not see this happening in the near future .... We are tired of these people who are trying to campaign for Dr Asha Migiro ... She is not good enough to be our President.

Balozi Mwanaidi Maajar + WAMA + Mama Kikwete + UWT somehow think only and only Mama Migiro can be our next President.

I am not campaining for anyone, do not quote me wrong!
However, the fact is a fact..
Our fellows (men) as useless as well.
Why not trying the other side??
 
Wakamuliza makinda tundu lissu ni nani hafu ndo waanze kuota ndoto zao za mchana. Kama jk ameshindwa pamoja na umaarufu wake
 
mnaota ndoto za mchana ninyi kanawen miguu mkalale
 
Tatizo hao hao waliosoma kwenye shule hizo hawana sera yoyote madhubuti ya kufanya hizo shule zitoe viongozi wengine maarufu kama hao.Sasa hivi wote wanapeleka watoto zao private....
 
Dar es Salaam. Waliosoma katika Shule ya Sekondari ya Weruweru wametamba kuwa wanaamini rais wa kwanza mwanamke nchini anaweza kutoka miongoni wao, kutokana na kiwango cha elimu bora inayotolewa katika shule hiyo.

Hayo ameyabainisha jana Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi waliosoma katika sekondani hiyo, Balozi Mwanaidi Maajar akijibu maswali ya waandishi alipokuwa akizungumzia kuhusu Maadhimisho ya Miaka 50 ya Sekondari ya Weruweru ambapo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

“Weruweru ilijizolea umaarufu kutokana na kutoa elimu bora kwa wasichana ambao wameweza kuendelea hadi kufikia kuwa viongozi,
kama Dk Asharose Migiro ambaye alikuwa ni mwanamke wa kwanza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
, tunaamini itakuwa ya kwanza pia kutoa rais mwanamke kwa sababu elimu tuliyoipata inatupa nafasi ya kuweza kufanya lolote,” alisema.

Alifafanua kuwa kuna wanawake wengine waliosoma kwenye sekondari hiyo ambao ni viongozi katika nyanja za wafanyabiashara,madaktari, wanasiasa wanadiplomasia, waandishi, walimu, wahadhiri na wajasiliamali. Alisema wanalenga kukusanya Sh500 milioni katika maadhimisho hayo ya miaka 50.

Chanzo: Mwananchi
Kwenye nchi ya wpmbavu mjinga huwa mwerevu,kwa hiyo leo hata mtu kama Ponda akiwa katibu mkuu wa wapagani duniani akija tunampa nchi aongoze bila kujiuliza kuwa kama alipata wadhifa mkubwa hivyo na akashindwa kutusaidia,atatusaidia nini tukimpa u prezidaa?au ndiyo itakuwa fursa yake kwenda kuwasalimia mashoga zake US?
 
Asha alibebwa akawa habebeki aliyembeba akaamua kubwaga uzito usio na Faida karudi CCM toka UN hadi pale alipo si akii ya kawaida.Yaani leo Anan awe nani kule Ghana ? Yaani Asharose hata kukumbukwa na wenzake hakuna .Anan kila siku anaitwa na hana PhD I believe .
 
Balozi Maajar namkubali sana ni kiongozi mzuri, lakini Asha Migiro hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi. Dr. Migiro ni product ya CCM, kama Getrude Mongera na Ann Makinda ambao wote ni majanga

Sioni tofauti yoyote kati ya Mwanaidi Maajar na hao wengine. Kama kigezo ni kuwa 'product' ya CCM, basi wote uliowataja ni majanga... Sipingi kuwa na mwanamke Rais, ila sijaridhishwa na yeyote kati ya hao. Huenda siku zijazo tutapata wanawake kwenye nafasi hiyo, lakini sidhani kama tutapata mama mwenye vigezo hivyo hivi karibuni. Wote wamejikita kwenye siasa za vyama na mipasho badala ya kuweka utaifa mbele. Wameacha hata kumtetea mwanamke wa kitanzania na kuweka maslahi yao binafsi mbele. Katika hao wote hakuna hata anayestahili kupendekezwa. Waendelee kupigana vijembe na Sophia Simba kwenye Jumuia yao UWT ambayo imeshindwa hata kumkomboa mwanamke wa kijijini. Wamebaki kushindanisha sura, mavazi na mipasho!
 
Wanaota ndoto za mchana! Tanzania haijafikia kuongozwa na mwanamke! Hata Marekani pia walimpiga chini Hilary Clinton kwa sababu hiyo! Wasubiri miaka 50 ijayo ila kwa sasa wanajidanganya!

Back
Top Bottom