Mimi nimekuwa nikifuatilia maandamano ya hawa wanafunzi wa vyuo vikuu na nikagundua kuna matatizo makubwa ambayo watu hawayaongelei. Gharama za kumsomesha mwanafunzi mmoja hadi kumaliza shule ni TSH 15,000,000. Tatizo ni kwamba tuna system ambayo serikali haidai pesa baada ya wanafunzi kumaliza shule na hivyo kuchukulia posho kama msaada badala ya mikopo. Shule si bure na wanafunzi inabidi wajue hivyo lakini serikali vilevile inabidi ijue kwamba kutokukusanja madeni si tatizo la wanafunzi wa sasa bali ni tatizo ya serikali kutokana na kushidwa kukusanja au hata kufuatilia madeni. Tuanze na raisi wetu je amelipa deni lake la chuo?? inabidi tuwe na system ambayo watu wanalipa madeni ya shule. Mimi binafsi nina deni hapa marekani la $38,000 na ninalipa $156 kila mwezi kwa miaka 20. Nikipanga kulipa mapema ni sawa lakini si bure na siwezi kukimbia deni kwasababu serikali itakuja kwa mwajiri wangu na kuchukua pesa kila mwezi.

wewe hujui kinachoendelea Tz kaa kimya!unajua wanaotakiwa kulipa madeni ya chuo ni waliomaliza chuo kuanzia mwaka upi?wenye ajira wanalipwa sh ngapi ili waweze kulipa madeni na kujikwamua wao na familia zao kimaisha?we endelea kubeba box huko kwa sababu hujui huku hata kazi ya kubeba box haipatikani.Raisi ana ajira je kalipa? kuna watu wangapi wamesoma vyuo vya serikali kwa mkopo na wanakazi je wamelipa. Kama unasoma shule na hutaki kulipa deni basi unasoma kwa msaada na kama ni msaada basi uwezi kudai pesa ya msaada bali ya mkopo. Kwanini NSSF na mashirika mengine yana pesa kama watu hawana kazi??
wewe hujui kinachoendelea Tz kaa kimya!unajua wanaotakiwa kulipa madeni ya chuo ni waliomaliza chuo kuanzia mwaka upi?wenye ajira wanalipwa sh ngapi ili waweze kulipa madeni na kujikwamua wao na familia zao kimaisha?we endelea kubeba box huko kwa sababu hujui huku hata kazi ya kubeba box haipatikani.[/QUOTE]
Nimeipenda hiyo
Raisi ana ajira je kalipa? kuna watu wangapi wamesoma vyuo vya serikali kwa mkopo na wanakazi je wamelipa. Kama unasoma shule na hutaki kulipa deni basi unasoma kwa msaada na kama ni msaada basi uwezi kudai pesa ya msaada bali ya mkopo. Kwanini NSSF na mashirika mengine yana pesa kama watu hawana kazi??
Mimi nimekuwa nikifuatilia maandamano ya hawa wanafunzi wa vyuo vikuu na nikagundua kuna matatizo makubwa ambayo watu hawayaongelei. Gharama za kumsomesha mwanafunzi mmoja hadi kumaliza shule ni TSH 15,000,000. Tatizo ni kwamba tuna system ambayo serikali haidai pesa baada ya wanafunzi kumaliza shule na hivyo kuchukulia posho kama msaada badala ya mikopo. Shule si bure na wanafunzi inabidi wajue hivyo lakini serikali vilevile inabidi ijue kwamba kutokukusanja madeni si tatizo la wanafunzi wa sasa bali ni tatizo ya serikali kutokana na kushidwa kukusanja au hata kufuatilia madeni. Tuanze na raisi wetu je amelipa deni lake la chuo?? inabidi tuwe na system ambayo watu wanalipa madeni ya shule. Mimi binafsi nina deni hapa marekani la $38,000 na ninalipa $156 kila mwezi kwa miaka 20. Nikipanga kulipa mapema ni sawa lakini si bure na siwezi kukimbia deni kwasababu serikali itakuja kwa mwajiri wangu na kuchukua pesa kila mwezi.
hilo nalo neno mkuu...dah mi skujua kama intelligence wanaweza ropoka maneno kama haya, now wanafunzi wa elimu ya juu tunadai nyongeza ya boom, halafu kulipa hatutaki then tusipoongezewa twalalamika, kwa wale wasio na ajira its okay wasipolipa but kwa wenye ajira wasipolipa huo ni usela mavi,na tukumbuke katiba mpya inakuja, kipindi tupo socialism(sera ya kijamaa) ilikua ni 100 asilimia walipiwa ikawa tunatransform kuja capitalist waka introduce cost sharing. Sasa moja wapo ya kipengele cha katiba mpya nchi itaingia rasmi kwenye sera za capitalism hii inamaanisha serikali itatoa mkopo kwa wanafunzi ambao ina interest nao kama waalimu madaktari na mainjinia wenzangu na mimi kina bcom na pspa sjui twakimbilia wapi. Tujifunze kufanya mema ili serikali ikikosea tuweze kuikosoa vizuri, tukishindana na serikali kufanya vibaya nchi hii tutaipeleka wapi????