Waliosoma na wanaosoma vyuo vikuu uganda

Waliosoma na wanaosoma vyuo vikuu uganda

pharmast

Member
Joined
Sep 8, 2024
Posts
55
Reaction score
107
Habari wakuu nilikuwa na uliza hivi Kwa haya matokeo ya physics-S, chemistry -D na biology -C a level anaweza soma banchelor of science in nursing Uganda na akirudi Tanzania akatambuliwa na TCU degree yake,naomba msaada kwa wenye uzoefu na hayo mambo
 
Pitia guide book.

Inataka minimum E kwa physics
Wanataka minimum D kaka Kwa TCU, (3 principle pass )lakini sijajua Kwa nje ya nchi kama uganda ukiwa na E je TCU watakuruhusu ukasome na ukirudi Tanzania wataikubali degree.
 
Back
Top Bottom