Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Jan 26, 2012 #1 Jamani natafuta school mates wangu waliosoma miaka hiyo hapo juu katika shule hii enzi hizo ilikua ni shule ya wazazi Mringa Technical and secondary school Arusha naomba tuwasiliane tafadhali.
Jamani natafuta school mates wangu waliosoma miaka hiyo hapo juu katika shule hii enzi hizo ilikua ni shule ya wazazi Mringa Technical and secondary school Arusha naomba tuwasiliane tafadhali.
sili JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 291 Reaction score 143 Jun 20, 2014 #2 Ndallo naweza pata address ya hyo shule? Kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo sasa nataka kufanya mawasiliano nao kuhusu utaratibu wa usajili
Ndallo naweza pata address ya hyo shule? Kuna mdogo wangu kachaguliwa hapo sasa nataka kufanya mawasiliano nao kuhusu utaratibu wa usajili