Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Hahahaa bweni linabeba watu kibao lile, lingine shaban Robert,Lumumba, makongoro,Milambo na Nyerere ndo linabeba watu wachache zaidTeam mnyampala 2008-10
St. Andrews Minaki mabweni St. Johns, St Simon, St Paul, St Thomas St Augustine na St LukesHahahaa bweni linabeba watu kibao lile, lingine shaban Robert,Lumumba, makongoro,Milambo na Nyerere ndo linabeba watu wachache zaid
Duh hayo majina mi sijayakuta mkuu nimesoma historia tuSt. Andrews Minaki mabweni St. Johns, St Simon, St Paul, St Thomas St Augustine na St Lukes
Niliambiwa kafariki mwanzoni mwa mwaka huuWewe father kafariki?? Lini iyo? Daaaaah Innalillah wainna iyllah Raajiun,
Tutambuane mkuu hata mm team mnyamapala 2010-2011......comb EGMHabari zenu wakuu
Leo nimeikumbuka shule yangu niliyosoma Advanced level 2010-11
Nimewakumbuka jamaa zangu, walimu wangu
Mzee Kaaya japo alikua mtata sana(alihama), Mr Chungu, Gerald Mukulu(Bios), Madam Asha(chemistry), baba Ludo( Pure Maths), Engatila(Pure maths),Mwl wilbard (Geo), Madam Bialali aka bambucha (Bios) ila alikua roho mbaya sana huyu etc
Kuna wapishi kama mzee Kinyogori, mzee mwingine naskia lifariki tulimzoea kwa jina father, brother Hamis na wengineo.
Nakumbuka matukio mengi na misukosuko mingi sana katika shule ile.
Kwa waliopitia Minaki katika safari yao ya kutafuta life nawasalimu sana, maisha ya minaki kwa wakati ule ilikua kama maisha plus jamani, maji shida sana nakumbuka maisha ya kufua pond, zamu za kutafuta kuni za kupikia chini ya uongozi wa Kaaya, kufata maji ya kupikia pond dah! Maisha ni safari ndefu
St. Andrews Minaki mabweni St. Johns, St Simon, St Paul, St Thomas St Augustine na St Lukes
Daaah nakumbuka mkuuTutambuane mkuu hata mm team mnyamapala 2010-2011......comb EGM
UNAKUMBUKA KALE KA MGOMO BARIDI
Nakutumia pm mkuuMkuu tupia namba yako ya whatsap nkuunge tuna grup la minaki 2010-2011
We ndo baba wa kile kitambi kachukue mwanao nimekujua leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namkumbuka sana mtoto wa mzee kinyogoli JAMILA alikua sukari yao enz hzo
Hahaha yule alikua mama huruma.......zist mpira cku hz hachez anafuga ndevu tuhaah Jamilaaa haahh dem wake Zisti na Ely haahh Minaki boy chama lile bn...mix kigodoro kisarawe kule ilkuw hatar...team nyerere dom...
Kama ulikua cbg lazma niwe nakufaham mkuuDaaah nakumbuka mkuu
That time tulikua F5 ( mi nilikua CBG)
Mgomo ulikua organized na F6
Nashukuru viongozi wa mkoa,wilaya na uongozi wa shule waliu solve kiutu uzima hakuna aliyefukuzwa shule
Nakumbuka hadi faini tuliyolipa ilikua Tsh 3200 kila mwanafunzi ili kuwanusuru waliotajwa katika mgomo wasifukuzwe shule