tupooooooooo tumejaaaa sema mimi nimesoma o level mpaka 2007. Baada ya form four yetu ndo wakahamishwa wale wengine.
Hahahahahaha ni hatari [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23]Wengi sana kaka.. enzi sisi tunasoma Lyamungo kulikuwa na basi moja tu from town, linaitwa MAKERESHO nyuma limeandikwa "Lyamungo Huyoooo"
Wazee wa Ngazi Mbili
Mkuu umenikumbusha mbali.Wengi sana kaka.. enzi sisi tunasoma Lyamungo kulikuwa na basi moja tu from town, linaitwa MAKERESHO nyuma limeandikwa "Lyamungo Huyoooo"
Wazee wa Ngazi Mbili
hili swali waulize watoto warembo wa UMBEhivi lyamungo mwaka 2009 kulitokea nini?
amri abeid(guantanamo).....mi nilikua agrey the old empire....mimi nimesoma hapo advance 2016 nani anajua bweni la guantanamo
Cube tatu pale... bweni bora kabisa lileamri abeid(guantanamo).....mi nilikua agrey the old empire....
amri abeid(guantanamo).....mi nilikua agrey the old empire....