Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni pure boys tu mkuuHiyo shule ni co edu? Kama ndiyo sitoki humu kwanza
Basi tugeane mbinu za kupiga puchu tu.
darasa la [HASHTAG]#Edsongatendeli[/HASHTAG] - edgate 'kiongozi wangu wa bweni la ruwenzori na mdau wangu kusikiliza siasa kupitia redio. baadae mlambo na sasa kanipa dadake ni shemeji langu la ukweli. tunakumbushana' tulivyopigana mapanga' bwaloni. SIKU ZOTE TENDEANENI MEMA BILA KUJALI MTAKUTANA AU LAA! NAJIULIZA ANGEYAKUMBUKA MAISHA YA SHULE SI ANGENILIZA KWENYE POSA NA MAHARI YA DADAKE!
Mkuu umetisha saaaaana. Daah we kweli wa Ihungo. Umenikumbusha mbali sana. Walimu wetu wengi hao walishapandishwa vyeo wamekuwa wakuu wa shule kama Mr Fabian, Mr Hunter, Mr Raymond(mjeshi) nk. Sijui umetoka mwaka gani lkn alikuwepo GS mmoja alikuwa anasoma PCB anaitwa Mabeyo yule jamaa alikuwa na roho mbaya sana.huwezi kumtaja banyenza bila kuanza na mr charles-injinia wa kutekebisha uhai wa wanaihungo kupitia 'nguna' na 'chimpumu'
**Siku ukimisi msosi ndio utaujua umuhimu wa mzee huyu.
VIVA CHARLES!
Kumbukumbu zangu zinaidondosha kwa hawa magwiji wa enzi hizo:
-d. hunter (you boy)
-mr & mrs mjeshi
-nyawawa (make sure you wake up on time t'
-mshema (chemical)
-mr combustion r.i.p
-mr adam r.i.p
-mr katundu r.i.p
-kazoya audax r.i.p
-mr biology from mza r.i.p
-charles (driver wa isuzu)
-mr basinda (mzee wa vitengo na ufundi)
-mama wawili (mama wa vimoro)
-mr rweikiza a.k.a baunsa
-nurse baunsa
-mr fabian
-madam magala
-mr mguha
-fr marcel
*MAENEO MASHUHURI
-mtoni ikemefuna
-rocks (godfrey philemon anahusika hapa)
-transmita
-kyaruyonga
-kashai
-rugie/rugambwa (vyoo)
[HASHTAG]#NENO[/HASHTAG] MASHUHURI 'KUPIGWA PANGA' kupewa msosi kidogo kunako mesini.
Sendabishaka vipi upo tz hii au upo ufaransa maana ulivokuwa unafloor kifaransahuwezi kumtaja banyenza bila kuanza na mr charles-injinia wa kutekebisha uhai wa wanaihungo kupitia 'nguna' na 'chimpumu'
**Siku ukimisi msosi ndio utaujua umuhimu wa mzee huyu.
VIVA CHARLES!
Kumbukumbu zangu zinaidondosha kwa hawa magwiji wa enzi hizo:
-d. hunter (you boy)
-mr & mrs mjeshi
-nyawawa (make sure you wake up on time t'
-mshema (chemical)
-mr combustion r.i.p
-mr adam r.i.p
-mr katundu r.i.p
-kazoya audax r.i.p
-mr biology from mza r.i.p
-charles (driver wa isuzu)
-mr basinda (mzee wa vitengo na ufundi)
-mama wawili (mama wa vimoro)
-mr rweikiza a.k.a baunsa
-nurse baunsa
-mr fabian
-madam magala
-mr mguha
-fr marcel
*MAENEO MASHUHURI
-mtoni ikemefuna
-rocks (godfrey philemon anahusika hapa)
-transmita
-kyaruyonga
-kashai
-rugie/rugambwa (vyoo)
[HASHTAG]#NENO[/HASHTAG] MASHUHURI 'KUPIGWA PANGA' kupewa msosi kidogo kunako mesini.
Umetisha mkuu, unakumbukumbu nzr sana. Ila hizo r.i.p dah, zinaumiza sana.huwezi kumtaja banyenza bila kuanza na mr charles-injinia wa kutekebisha uhai wa wanaihungo kupitia 'nguna' na 'chimpumu'
**Siku ukimisi msosi ndio utaujua umuhimu wa mzee huyu.
VIVA CHARLES!
Kumbukumbu zangu zinaidondosha kwa hawa magwiji wa enzi hizo:
-d. hunter (you boy)
-mr & mrs mjeshi
-nyawawa (make sure you wake up on time t'
-mshema (chemical)
-mr combustion r.i.p
-mr adam r.i.p
-mr katundu r.i.p
-kazoya audax r.i.p
-mr biology from mza r.i.p
-charles (driver wa isuzu)
-mr basinda (mzee wa vitengo na ufundi)
-mama wawili (mama wa vimoro)
-mr rweikiza a.k.a baunsa
-nurse baunsa
-mr fabian
-madam magala
-mr mguha
-fr marcel
*MAENEO MASHUHURI
-mtoni ikemefuna
-rocks (godfrey philemon anahusika hapa)
-transmita
-kyaruyonga
-kashai
-rugie/rugambwa (vyoo)
[HASHTAG]#NENO[/HASHTAG] MASHUHURI 'KUPIGWA PANGA' kupewa msosi kidogo kunako mesini.
mabeyo simjui lakini safu yangu naipanga kwa kuwakumbuka waungwana wa enzi hizo ERICK KAYUNGI na TIRUS OMOLO. hawa walikuwa wanapendwa na shule nzima, roho zao nzuri yaani hadi wanafunzi waliipenda shuleMkuu umetisha saaaaana. Daah we kweli wa Ihungo. Umenikumbusha mbali sana. Walimu wetu wengi hao walishapandishwa vyeo wamekuwa wakuu wa shule kama Mr Fabian, Mr Hunter, Mr Raymond(mjeshi) nk. Sijui umetoka mwaka gani lkn alikuwepo GS mmoja alikuwa anasoma PCB anaitwa Mabeyo yule jamaa alikuwa na roho mbaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaa ya kale ni dhahabu. kumbe mmejificha humu na id za kulenga kwa manati. asante sana kwa kuuleta uzi huu!Sendabishaka vipi upo tz hii au upo ufaransa maana ulivokuwa unafloor kifaransa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
navuta picha siku ya master parade, wimbo wa shule tukiwa form I ni zaidi ya vituko:
Haya ndugu, vip uko wapi siku hizihahahaa ya kale ni dhahabu. kumbe mmejificha humu na id za kulenga kwa manati. asante sana kwa kuuleta uzi huu!
Noma sana, naomba mwenye kuujua vzuri huu wimbo wakuu atuwekee hapa. Wengine tushapoteza baadhi ya maneno aisee.navuta picha siku ya master parade, wimbo wa shule tukiwa form I ni zaidi ya vituko:
unaanza
ONI ZE SHOOZ OVU LEKI VICTORIA....
STENDZ IHUNGO SKUUUU....
**yanayofuata ni kufuata biti tu mwanzo mwisho.
**usiombe mwalimu akuite mbele uanzishe....! hapo ndio utakua KWANINI KIFARANGA ANAKUA BILA KUNYONYA!