Walioshindwa Uchaguzi KKKT wasilalamike kwa sababu Wachungaji Wao wanaruhusiwa kugombea Ubunge hivyo mbinu za Mchezo ni zile zile!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Chaguzi za Tanzania kuanzia Chadema, CCM, Daruso, TLS, TFF, KKKT, Anglikana nk zinafanana kwa sababu mbinu za kutafuta Ushindi zinazotumika ni zile zile

Wachungaji wa KKKT huwa wanagombea Ubunge Ndio sababu tunasema Dini na Siasa haziwezi kutenganishwa

Hongera Mwanafyale Baba askofu Dr Alex Malasusa PhD
 
Nasadiki kwa kanisa moja Katoliki la mitume.

Roma Locuta, Causa Finita Est.
 
Kwa hiyo malasusa anamkataza mtu asizini wakati hiyo aliyofanya ni dhambi hizi dini kaeni majumbani na watoto wenu
 
CCM Wanateseka Sana RC kua chini ya Vatican, Bahati mbaya Ndio hivyo na haiwezi geuka.
 
Back
Top Bottom