..uongozi ni sawa na mbio za kupokezana kijiti.
..off course kilio cha katiba kilianzishwa na wakongwe kama Chifu Fundikira, Balozi Kasanga Tumbo,Mzee Kasela-Bantu, Mzee Mloo, Mzee Mapalala, Mabere Marando, Christopher Mtikila, Maalim Seif,na hata wabunge wa CCM "G-55."
..lakini hapa katikati harakati hizo zilianza kufifia.
..Chadema, kupitia mgombea wao, Dr.Slaa, ndiyo walioibua upya harakati za kudai katiba wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu.
..zaidi kile kitendo cha wabunge wa Chadema kususia hotuba ya JK bungeni kili-raise awareness kuhusu umuhimu wa katiba mpya nchi hii.