Waliosema Lowassa yuko hoi kitandani...

Bila shaka ukupay attention kwenye tukio la msiba wa mengi
Salaamza rambirambi toka kwa lowasa zilisemwa na msemaji wake
Nadhani ata umu ukisearch utampata aliuetoa salaam za lowasa msibani
Msiba wa Mengi hakuonekana hata rambi rambi kwa njia ya Salaam alishindwa kutuma!? Au walikuwa na beef na marehemu?
 
Reactions: BAK


Exactly. Na wewe ndivyo ulivyo. Unatoa spin kibao humu ukidhani wenzako ni wajinga hawaelewi kitu.

Yaani umeji-describe vizuri sana mkuu!
 
Tatizo la wajamaa huwa hataki kukiri kuwa wanamatatizo, Hata Mwalimu alipotoka Tz mwezi Juni 1999 kwenda UK alionekana yuko vizuri kumbe hakuna fiti kiafya, Wajamaa wanpenda kuwa wasirisiri tu
 

Mmmmh, ina maana siku tunayosherehekea kufa kwake sio halisi?
 
ZURICH UJERUMANI?????
KWELI ILE VIDEO NIMEAMINI WANAOITETEA HAWAJIELEWI, HAKUNA CHA WIVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…