PreGE2025 Waliosema hakuna kuhama chama wanataka kuharibu chama CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,386
Wakati wa kampeni ndani ya CHADEMA, kuna baadhi ya watu walikuwa wanawaambia wafuasi wa Lissu kuwa "hakuna kuhama chama" kama wakishindwa uchaguzi ule.

Leo hii lile kundi lililokuwa linawaambia wenzao kuwa hakuna kuhama chama, lenyewe ndiyo limo kwenye harakati za kutaka kuharibu chama.

Mengi yanasemwa lakini ukweli ni kwamba hilo kundi haliwezi kuiyumbisha CHADEMA na lenyewe Siyo watu maalum sana ndani ya CHADEMA.

Hawa watu kwa maneno na matendo yao inaonesha kuwa walikuwa wanafaidika na ruzuku ama kuwepo kwao kwenye nafasi za kiuongozi ndani ya CHADEMA.
 
Hao wachache sana, tuta shughulika nao na wanaowatuma. Muda utaongea
 
Wakati wa kampeni ndani ya CHADEMA, kuna baadhi ya watu walikuwa wanawaambia wafuasi wa Lissu kuwa "hakuna kuhama chama" kama wakishindwa uchaguzi ule.

Leo hii lile kundi lililokuwa linawaambia wenzao kuwa hakuna kuhama chama, lenyewe ndiyo limo kwenye harakati za kutaka kuharibu chama.

Mengi yanasemwa lakini ukweli ni kwamba hilo kundi haliwezi kuiyumbisha CHADEMA na lenyewe Siyo watu maalum sana ndani ya CHADEMA.

Hawa watu kwa maneno na matendo yao inaonesha kuwa walikuwa wanafaidika na ruzuku ama kuwepo kwao kwenye nafasi za kiuongozi ndani ya CHADEMA.
G55 hawajajibiwa hoja zao
 
Kenge Hadi damu itoke masikioni ndiyo anajua kaumia
 
Tushatoa ushauri sana, wafukuzeni! Na COVID 19 wale baada ya Bunge kuvunjwa, fukuza! Hiyo ndio demokrasia ambayo Chadema inapigania bwana alaa!!!
 
Back
Top Bottom