Waliosema Dk. Slaa, Prof Lipumba yatimia rasmi CHADEMA

Waliosema Dk. Slaa, Prof Lipumba yatimia rasmi CHADEMA

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Lowassa ni CCM B sasa anaenda kuwekewa pingamizi la kisheria kwa kuwa kesi inakaribia kupelekwa kwa Pilato. Sasa walioyatabiri yametimia sasa ukawa itakuwa ukiwa bila kuwa na mgombea uraisi.
 
Raila Odinga aliisubiri sana ile mahakama ya icc imuokoe dhidi ya kenyata, Matokeo wote tunayajua.

Lowasa nampa kura yangu.
 
Tunaimaniiii na lowasaaaa oya oya oyaaaaaaa. Kweliiiiiiiii kweli kweli kweli lowassa, lowasa kweliiiiii. Ccm mwisho wenu October.
 
Sasa hapa ndio NEC au mahakamani?
Au tukusaidie nini?
Kalale ili uendelee kuota ndugu.
 
fungue mapema...tumechoka kila siku yale yale...hamna single mpya?!
 
ongea kisheria quote katiba na sheria za NEC sio kubwabwaja tu. sheria haingaliii kelele za watu inakata km msumeno

Mbona hata wewe sijaona mahali uliponukuu kifungu chochote cha Sheria?
 
Ahahaha Siasa ya Bongo inavituko sana. Ukiangalia wengi wanaocomment kwa upande wa utetezi ni wale miezi michache

nyuma walikuwa wanasema CCM chama cha mafisadi, Lowassa ndio fisadi mkuu. Leo wote wamebadilika, mpaka Oct 25

tutaona mengi.
 
wahusika wapo ccm akipelekwa ujue ccm wote mmeisha maana alikua chini ya....
 
Mmesahau kama mna mgombea wenu, mko busy na mgombea wetu! CCM OUT!
 
Lowasa kweli atakuwa amewashika pabaya mh! Wamesahau hata kunadi sera ili tuwaelewe kwanini tuwachague tena
 
Lowassa ni CCM B sasa anaenda kuwekewa pingamizi la kisheria kwa kuwa kesi inakaribia kupelekwa kwa Pilato. Sasa walioyatabiri yametimia sasa ukawa itakuwa ukiwa bila kuwa na mgombea uraisi.
Mbona CCM mnahangaika sana wakati wenzenu Ukawa wametulia?
 
Sasa ndio naanza kupata picha ni jinsi gana Uhuru Kenyatta alijiingilia ikulu kirahisi kiasi kile!
 
Lowassa ni CCM B sasa anaenda kuwekewa pingamizi la kisheria kwa kuwa kesi inakaribia kupelekwa kwa Pilato. Sasa walioyatabiri yametimia sasa ukawa itakuwa ukiwa bila kuwa na mgombea uraisi.

hujui sheria bora ukae kmya 2.
 
hahahaha ccm bana nyie badala mjali yenu hahaha Lowassa anawakimbiza mchakamchaka
 
Back
Top Bottom