GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,666
Lowassa ni CCM B sasa anaenda kuwekewa pingamizi la kisheria kwa kuwa kesi inakaribia kupelekwa kwa Pilato. Sasa walioyatabiri yametimia sasa ukawa itakuwa ukiwa bila kuwa na mgombea uraisi.
Wewe ni mwanasheri?
Sifa za kugombea urais ni pamoja na "KUTO KUSHTAKIWA MAHAKAMANI NA KUHUKUMIWA ", sio tu "KUSHTAKIWA " sasa hilo pingamizi litakuwa limepata hukumu lini?
Hivyo basi, hata ikiwa hivyo, japo haiwezekani!
Kesi ikifunguliwa leo mtuhumiwa atapata siku 21 za ku file majibu, baada ya hapo upande wa mashtaka na upande wa utetezi utapata angalau siku 14 za kupanga FTC (first trial conference ) hapo tayari Watanzania watakuwa wanaingiza kura Lowassa kwenye kibox.
Haya sasa watajitahidi kufanya fast track case kuanza Hearing ambayo inaweza kuchukua mwezi mmoja (kitu ambacho ni speed ya muujiza), hapo rais Mteule atakuwa anaapishwa!
Baada ya hapo tunaanza kusikia mara judge fulani kajiuzulu mara DPP aenda Marekani and the likes!