Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Naipikia ubwabwa, hebu usinichoshe bana na story za huyo marehemu wako..... KwaheriFlyover ya Ubungo unaifanyia kazi gani?
Naipikia ubwabwa, hebu usinichoshe bana na story za huyo marehemu wako..... KwaheriFlyover ya Ubungo unaifanyia kazi gani?
Marehemu utakuwa wewe usiyekuwa na impact yoyote hata kwenye familia yakoNaipikia ubwabwa, hebu usinichoshe bana na story za huyo marehemu wako..... Kwaheri
Flyover flyover fyuuuuu kafie chato huko 😁Marehemu utakuwa wewe usiyekuwa na impact yoyote hata kwenye familia yako
Angefuata ushauri wako tusingekuwa na train ya SGR sasa hivi.Mimi nadhani hawakupinga kwa ubaya bali walitaka maelezo yaliyo wazi kwa umma na yakina.
Kwamfano waliunga mkono ujenzi wa SGR kwa maelezo ya mwanzo na gharama iliokuwa imepangwa ya Diesel Locomotive,ya SGR railway line from Dar to Moro.FULL STOP.
Mara Mjomba Magu akataka iwe ya umeme.
Akaja tena na SGR iliyomwendokasi "bullet train"
Hakuachia hapo akaja na extension ya SGR rail line kutoka Moro hadi Dodoma na akidai kuwa tunajenga kwa pesa yetu kitu ambacho hakikuwa sahihi,kulikuwa na mikopo vilevile.
Laiti angekuwa ameweka Financial plan kabla ya kuanza mradi,tungeijenga kwa muda mfupi kuliko ilivyo sasa.
Utatukana huku unapita hapohapo, ndiyo watu wasio na akili hufanya. Unakula na kunya hapohapoFlyover flyover fyuuuuu kafie chato huko 😁