Waliopinga miradi ya Magufuli sasa wanajisikiaje?

Waliopinga miradi ya Magufuli sasa wanajisikiaje?

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,399
Reaction score
2,601
Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo

1. Mradi wa SGR
Mradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?

2.Bwawa la umeme
Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm. Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?

3. Daraja la Kigongo busisi
Daraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.
Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.
4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma.
Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma. Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
 
Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Kwakua Tunaogopa Mungu na teknolojia hebu lete hata kaklip kamoja ambako kanaonesha wabunge wa CHADEMA wakitoka nje ya Bunge kama ishara au hatua ya kupinga mradi wa SGR Kwa sababu tu ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Kama hutaweza kufanya hivyo wewe ni mojawapo ya wajinga kwenye kundi la wajinga na wapumbavu. Kama Makala aliyesema wananunua vurusi vya MPox
 
Wewe ni mjinga sana unataka uletewe kila kitu
 
Magufuli alijitahidi sana kuihudumia Tz ajabu rais wa Sasa hakuna hata mradi mmoja aluoufanya .anachofanya yeye ni kusafiri tu kwenda kustarehe
 
Magufuli alijitahidi sana kuihudumia Tz ajabu rais wa Sasa hakuna hata mradi mmoja aluoufanya .anachofanya yeye ni kusafiri tu kwenda kustarehe
Na bado anaabudiwa na kutukuzwa huku akiimbiwa kila aina ya mapambio
 
Mi nashangaa sana. Walimcheka kwamba hana utu na hajui demokrasia na ni mshamba, mara muuaji anateka watu.

Sasa saiz sijui hayo yapo wapi? Miradi mipya ipo wapi? Hata ile ya Jembe inaenenda vipi? Hali ni ile ile au saiz ni nafuu??

Makada utasikia “dakitari……. Pwapwapwaaa”
 
Ni wajinga sana
 
Back
Top Bottom