thanx mikataba feki, samahani kwa kukukwaza mario gomez, nashukuru nimeshapata taarifa napenda kuishukuru jf kwa taarifa maana hata tangazo la kazi nililiona humu, naahidi kufanya kaz kwa juhudi na maarifa tuweze kukusanya mapato ya serikali kwa maendeleo ya nchi yetu masikini! mungu ibariki tanzania, mungu ibariki jf, pamoja tunawza.